Mmm mbona kama na wewe pia unaumiza kichwa hapo,usikubali shauri yako mwenzio kashindwa kwa nini na wewe uweze unanini? ebu tulia na ulie nae mwenzangu...
Nahisi kama unatafuta justification, au unataka tukupe majibu gani mengine.....Na usipokuwa makini utaliwa kwa kumhurumia kwani ameshateka hiyo akili na danganya toto zake. If you mean no never come across yes.
ha ha ha ha ha ha ..wonders shall never end in jf..lolz
Yaani hata maneno ya kumwambia mtu kuwa humtaki huna! The easiest thing for you is 'if you cant fight him join him'......
kuna kaka mmoja ni rafiki yangu na ana mpenzi wake lakin kwa muda kidogo wamekua kama hawaelewani na wanaishi nyumba moja hawajaoana asa kaka ananitaka mim niwe mpenzi wake akimaanisha kashoshwa na kutoelewana na mpenzi wake nimejitahidi mwelewesha kwamba sitaweza kua nae kwasababu nami ninampenzi wangu hanielewi labda nimjibu nin anielewe?mana amekua msumbufu kwangu
Kukubudhi maana yake ulimkaribisha katika mawasiliano. Inaonyesha usivyo na msimamo.Mpaka unashorokisha jf unashindwa kumshirikisha mpenzi wako?????????Swali, ungekubali ungetushirikisha?
Ukimkubalia, akikuzingua, hutakuwa na pa kwenda, kwani inawezekana akaelewana na huyo mpenzi wake na wakarudiana. Mambo ya mapenzi ni mazito dada. Achana kabisa na huyo mume wa mtu, kama ilivyo kwa wake za watu ambao ni sumu pia!