kwa hiyo unataka ushauri wa jf wakati kinafahamika kabisakuna kaka mmoja ni rafiki yangu na ana mpenzi wake lakin kwa muda kidogo wamekua kama hawaelewani na wanaishi nyumba moja hawajaoana asa kaka ananitaka mim niwe mpenzi wake akimaanisha kashoshwa na kutoelewana na mpenzi wake nimejitahidi mwelewesha kwamba sitaweza kua nae kwasababu nami ninampenzi wangu hanielewi labda nimjibu nin anielewe?mana amekua msumbufu kwangu
kuna kaka mmoja ni rafiki yangu na ana mpenzi wake lakin kwa muda kidogo wamekua kama hawaelewani na wanaishi nyumba moja hawajaoana asa kaka ananitaka mim niwe mpenzi wake akimaanisha kashoshwa na kutoelewana na mpenzi wake nimejitahidi mwelewesha kwamba sitaweza kua nae kwasababu nami ninampenzi wangu hanielewi labda nimjibu nin anielewe?mana amekua msumbufu kwangu
mmmh mbona kama kisha kulegeza magoti, usikilize moyo wako.....