mara
mke wake akasikina na kusema ni
malaya gan unampigia sm? nakutaka
uongee nae nikusikie akanigeuzia
kibao na kusema, wewe dada unaakil
timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya
wewe usie kuwa na aibu kama
unawashwa kauze upate hela nyooko'' ALIVYOKWAMBIA HAPA WALA HAKUKOSEA TENA NI MADOGO MNO!!... Subiri nawewe ikunasie kwenye 0712/0713/0714 ndio akili itakukaa sawa.. M*a*v*i yako kitali
kuna watu unawapendelea kumbee!enh!yani of oll ae pipo wewe ni wa kutoa haya majibu kwa mineno mbofu mbofu ya aina hii!ah mtani !give me the watu8 i wud kill to miss in JF banaYaan ndugu wanawake bhana,sijui wakati mwingine part ya ubongo kwa ajili ya reasoning huwa mnaazimisha....Yaan wamama nawakubali sana lakini linapokuja tu suala la mapenzi na mahusiano, basi nadhani akili zenu huwa zinasimama kwa muda halafu hiyo nafasi inachukuliwa na moyo.
Wewe bi dada, unafiri vizuri kweli???Umeshasema ni mume wa mtu, halafu bado unahitaji kujua kama unapendwa, khaa!!!
huyo anakupenda, usimwache
kuan watu nawaamini ujue kwenye mada za aina hii af mmeniangusha mbaya!wanawake akili zenu sometimes kama zimetiwa gundi....
Unajua kabisa ana mke halafu unauliza kama anakupenda?
Huwezi fikiria kuwa anataka K tu huyo?
Huwezi fikiri kuwa anatumia lugha tamu na laini, kama mwanume yoyote angetumia kukutongoza?
Una your childhood sweetheart, unatafuta nini? Hakuridhishi?
Wewe hujiamini na hujitambui hilo ndo tatizo la nyie viumbe vya kike.thus y asikwambie m2 mwanaume akisha ngonoka uzur wako wote unakuwa umeishia kitandan pale .
kuna watu unawapendelea kumbee!enh!yani of oll ae pipo wewe ni wa kutoa haya majibu kwa mineno mbofu mbofu ya aina hii!ah mtani !give me the watu8 i wud kill to miss in JF bana
mambo mamii!Heheheehheeeee!! Jamani dunia ina mambo!!! Pole sana mamii ukifika miaka 30 hutapata shida ya kutatua matatizo kama haya.
mambo mamii!
mie mzima kabisa sijui wewe,kazi?familia?poa mamii mzima weye??
Mim ni msichana,nina umri wa miaka 22,ni mfanyabiashara, nina mchumba wangu na tunapendana sana alinipenda toka tukiwa wadogo mpaka leo niko nae na tunampango wa kuoana. Sasa kinacho nishangaza mim nikwamba,siku moja nikiwa kazin katokea kijana mmoja na kuniambia kuwa ananipenda sana na upo tayari kunipa kila kitu ninacho hitaji ila nikampotezea kwa kuwa ninae mchumba, akaendelea kunisumbua, nakudai ananipenda kupita maelezo, mim nikamuulizaje,kama kweli unanipenda kwa moyo wako wote funguka niambie ukweli juu ya maisha yako, ukweli hakusita kuniambia kuhusu maisha yake na ukweli wenyewe ulikuwa hv, ameoa na ana mtoto mmoja ila ananipenda mim kuliko mke wake. sasa tatizo ni kwamba,one day kanipigia sm usiku nikapokea akaanza kusema hiv,hellow sweety ,uko pouwa! nimekumis je? nam nikamwambia niko pouwa mara mke wake akasikina na kusema ni malaya gan unampigia sm? nakutaka uongee nae nikusikie akanigeuzia kibao na kusema, wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko. je huyo ananipenda kwel au anataka dampo. ushaur plz....