Mume wa mtu ananitesa

Kuna vitu vingine hata si vyakuomba ushauri,unaabisha wanawake wenzako,wanaume watuone punguani

Hata aiingii akilini,hivi kweli mlikuwa marafiki ukamtamkia unampenda akakuambia anamchumba,hamjawahi sex bado ukampenda hivyo hivyo

Wakati mi mwanaume akinijibu kama hivyo nashukuru kuujua ukweli kuwa ana mtu wake kupenda naacha hapohapo,nabaki kuheshimu mahusiano ya MTU,afu siwezi kushare
huku najua.

Tuachane na hayo umeolewa mnaishi kwa amani,bado unatafutana na huyo rafiki mnarushiana picha za uchi serious??!!
Afu zikija kuvuja utasema shetani alikupitia,badilika unajua kuna mambo mengine hata shetani atawakana

So sad,namuonea huruma Huyo mume alokuweka ndani afu unakipiga picha kitumbua chake unamtumia mwanaume mwingine si ajabu Mr katoka kukishave mwenyewe ajionee kinavutia

Aisee ushauri wangu badilika,mapepo ya ngono na usaliti mnayataka wenyewe kwa kutokulidhika na mlivyo navyo siku vikipotea ndo mtajua thamani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiii chai mbona yamoto sasa alaf mbaya zaid nilijaribu kuionja kumbeeeeee ina chumvi na sukari humohumo, kitafunwa eti ni makande jamaniii...

...............
...............
...............
Ukisha shiriki/kumfikiria mtu kiakili hiyo tayari ni zinaa, sasa mkuu hadi hapo uchepuke mara ngapi??

................
................
................
Fanya hiviiii, mfate mshikaji mtafunane vyakutosha hamna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...cha muhimu umpelekee hiyo k,sio big deal,ila uwe muangalifu hakikisha mmeo hagundui
 
Daaaahhhhh...
Barikiwa sana dada yangu,walau umenifanya niamini bado kuna wanawake wema wanaoishi.
Nimekupenda kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear future wife ujinga huu nikiukiuta kwenye simu yako utaenda kulazwa na talaka itakukuta huko huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…