Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
we acha aiweke halafu utaona kinachofuatiasasa akishaiweka ndio inakuwaje?....mambo mengine jamani.
hapo kwenye bluu nimepata mfadhaiko ghafla....dah.kwni cku hizi mwanadamu anajali hilo...""nitatumia kinga"".....yani ilimradi tu mtu kadhamiria kuckia joto la humu ndani.
hahahahaha ivi wanasayansi wameshindwa kutengeneza "Joto mbadala" ili matatizo kama haya yaishe?
Fidel we kiboko. Duh mi simo ..............:lock1:Hahahahahaha weweeeeeeeeee umenikumbusha mbali sana.
Yaani hamu za siku hizi sijui zikoje mtu akisha tamani hata ajuza atafanya juu chini amege.
Hatari hii! Basi hamu zijazo zaweza kutufanya tuanze kuzengea mpaka madogi LOL
wakitengeneza c ndoa zetu zitaendelea kuporomoka zaidi?
hata mama kyuu?:lol::lol::lol::lol:
Kwani na nyie lazima mfanye?
ivi na nyie manatafutaga joto?ngja niongelee nafc angu hapa...mie lazima nifanye.
hapo kwenye bluu nimepata mfadhaiko ghafla....dah.kwni cku hizi mwanadamu anajali hilo...""nitatumia kinga"".....yani ilimradi tu mtu kadhamiria kuckia joto la humu ndani.
Halafu huu mfadhaiko uliosababishwa na kauli yako bado upo aisee, inabidi uwe responsible citizen unisaidie hapo.ngja niongelee nafc angu hapa...mie lazima nifanye.
wewe!! Acha kuvua samaki kwenye tenga na hali tayari mmoja unaye mezani ashakaangwa. LAKINI na huyu dada aache kabisa kuwapa namba za simu wanaume za watu. Bado kidogo utajang'olewa pua.Vaa chupi ya chuma:lock1:Ndio umeamua kuja kunianika hapa? Ole wangu!!
kwa vile ulishaonesha kumpa matumaini ya kumtimizia tamaa zake za mwili mlipokutana kwenye starehe hizi, nakushaurimuonjeshe mara moja kisha umpige kibuti ili haki itendeke!
Jamani mbona mnamwonea sweetie hapa? Hakuna ubaya hata kidogo kubadilishana namba za simu si ndio connections, madili na urafiki unapoanzia? Tatizo hapa ni huyo fisi kuitumia vibaya namba aliyopewa. Ingekuwa hakuna kubadilishana simu si ingekuwa hakuna maana ya kuwa na simu basi maana kama ni kuwasiliana na nduguzo mngekutana majumbani na za kikazi mngekutana ofcn au kutulia land lines??
JS mamii huyo ni wa kumpiga stop kungali mapemaa tena asiposikia dada hebu deka kidog kwa mpenzio... mweleze taratibu kuanzia A to Z tangu mlipokutana hadi kuexchange number tena mwombe na msamaha wa kutomwambia mapema juu ya hilo (Ikibidi finya macho mpendwa ili umconvince kujutia kwako-Si ndio mapenzi yenyewe ati?)
Kisha mwombe akusaidie kuondokana na jinamizi hilo. The way I know my shem is a man enough he will know what to do lovie so dont worry
Kila la kheri