Mume wa Mtu ananitaka

Kama kweli huna hisia naye basi usimpe, akichoka ataacha mwenyewe. Lakini kama ana bidii naamini uwezekano wa kuja kupata upo. Atakuganda kila siku hadi kuna siku utalegeza msimamo (nahisi hiki ndicho unachoogopa ndio maana unaomba ushauri). Ukijijua uko hivyo (kwamba ukichoka kubana mwishowe utaachia), basi usiwe unawapa watu access za kihivyo kama kuwapa namba za simu etc. Kama una uhakika una uwezo wa kuendelea kubana nonstop basi endelea hivyo.
 
Nyie watu on a serious note lakini, is there a problem kutoa namba ya simu?? i mean its only a phone number and you never know iko siku unaweza kuhitaji msaada wa huyo mtu. Hatuishi dunia ya peke yetu ya kutokusaidiana.

ishu ndipo inapoanzia...huyu amehitaji msaada kivingine....kwa kibongo bongo mkibadilishana no na jinsia tofauti mara nyingi utegemee mawacliano/maongezi ya aina yoyote kutoka kwa huyo mtu na mojawapo ni kama hilo.
 
Alaaaa yeye JS alikuwa anategemea nini alipompa jamaa namba yake? Kwamba jamaa ataenda kuitundika ukutani hiyo namba kama pambo? Mademu bana...mtu unampa namba yako halafu akikupigia unalalamika...what the ***?
Hapo sasa............
 
Mie sioni unbaya wa kumpa mtu namba ya simu, kwani kama sitaki uhusiano naye sinaacha kupokea tu. Kuna mazingira mengine mtu anakuomba namba ya simu kumnyima pia unaonekanaje sijui, basi nitakupa lakini sio kwamba eti nikikupa namba ya simu ndio umenipata. Wanaume wao wanafikiri ukimpa namba yako basi uko available, mnajidanganya.

JS mwache apige wee mpaka atakaa tamaa. text msg zake usijibu.
 
Nyie watu on a serious note lakini, is there a problem kutoa namba ya simu?? i mean its only a phone number and you never know iko siku unaweza kuhitaji msaada wa huyo mtu. Hatuishi dunia ya peke yetu ya kutokusaidiana.

Wewe ndio ulidhani its only a phone number lakini kwake it meant a lot! si wewe tu unaweza hitaji msaada siku moja , hata yeye anaweza hitaji msaada kwako na ndio maana anakupigia maana anahitaji msaada, kwa kuwa unaelewa hilo la kusaidiana we msaidie tu, kumbuka " kumnyima mtu kitu wakati unacho ni sambi, we si umpe tu na kama ni sambi si sake!
 


sasa kwanini ujisumbue hivyo? kuacha kupokea kwasababu gani na uliamua mwenyewe kumpa? cjui kwa wengine kwangu mie ama cjickii/naona hufai kuwa na no yangu nakuambia tu ukweli.
 
:a s 20:
 
inawezekana huyo mpenzi wa JS,ndio hana future naye...
mpaka kufikia kutoa namba yake,ni kwamba dada JS hafeel secured kwenye r'ship yake,,,
sie wanawake tunayo sana hio...kama mtu hana muelekeo unakaa mguu mmoja ndani mguu mmoja nje...!:target:
Correction hapo kwenye red sema wewe. usiusemee moyo ati.
 
nahisi yuko likizo,mpaka arudi...nyumba za watu nyingi zitakuwa zimebomolewa..:rolleyez:.!

wapiiii da sophy???LOL


na anayeendessha hilo tinga tinga ni wewe namba moja eeh...mi nyumba yangu naamini imejengwa juu ya mwamba ijapokuwa sijisifu yasije kuwa ya wifi yake Mrs wangu Nyamayao...
 

mambo mengine jamani, sasa cjui mtu utawapa wangapi.
 
na anayeendessha hilo tinga tinga ni wewe namba moja eeh...mi nyumba yangu naamini imejengwa juu ya mwamba ijapokuwa sijisifu yasije kuwa ya wifi yake Mrs wangu Nyamayao...

watu mnaogopa kuzirai eehh...lol
 
Binamu mambo mzima


mambo yangu yalikuwa shwari Binamu hadi ulipoamua kumharibiua hommie wang sipirini hivi hivi....mambo ya PM si tulisema yabaki huko huko lakini?
 

Mpaka kutuletea hiyo issue hapa JF ina maana jamaa kakuingia kwenye kuta za moyo, unazuga tu! Muonjeshe yaishe....kwani wangapi washaonja? Naimani ni wengi na kila mtu kala kona........hivyo hata huyu ukimuonjesha mwisho wa siku atakula kona....!
 

mi hili nilikuwa mbado...so unamaanisha JS ana play hard afu hapa anatuzuga eeh? HOMMIE......
 
Nyie watu on a serious note lakini, is there a problem kutoa namba ya simu?? i mean its only a phone number and you never know iko siku unaweza kuhitaji msaada wa huyo mtu. Hatuishi dunia ya peke yetu ya kutokusaidiana.

Sasa si ndo anataka umsaidie ili apate raha ya penzi lako, kumbe unalijua hilo
 

Ukishikwa shikamana shosty
 
Da Sophy is back na ushauri kabambe! hehehe

kaizer habari ndo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…