hizo sms zicje zikaleta kasheshe kwa mpenzio cku ya cku...mkanye kwanza kwa hilo, halafu mwanaue unaemwambia una mpenzi na yeye ana mke lakini bado unakazana tu huyo c mzuri, anajua hana future na wewe so kilichobaki ni uharibifu tu.....
Kosa ulilifanya wewe tokea. Una wa kwako na yeye ana wa kwake, kwa nini mlibadilishana namba? Mambo mengine ni ya kujitakia tu.
Mimi nikiwa na kwangu kamwe sitoweza kubadilishana namba na shori niliyekutana naye kwenye starehe. Huna msimamo bibie.
Nami nilimwambia hivyo hivyo. Anionjeshe mara moja nasepa zangu. Sasa yeye hataki matokeo yake kaja kunianika hapa! Dah!Muonjeshe mara moja tu, kisha mwambie kuwa hawezi kazi.
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
:rolleyez:mpe mwaya...
mume wa mtu mtamu..asikwambie mtu..
tena kila mtu ana mpenzi wake ndio inanoga zaidi,
akikutema si unarudi tu kwa mumeo?
hapo kwenye Red inawezekana huyo jamaa hana mke wala nn, ila si unajua siku izi watu wanapenda wale walio kwenye uhusiano kuliko ma single....may be he think you lied to him as he lied to you ndo maana anakomaa na wewe!! :clap2:Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
:rolleyez:mpe mwaya...
mume wa mtu mtamu..asikwambie mtu..
tena kila mtu ana mpenzi wake ndio inanoga zaidi,
akikutema si unarudi tu kwa mumeo?
hilo pia ni tatizo lingine, mana mngemaliza na stor pale kila mmoja aende na lake, may b mbaba alivyoona mpaka mmeweza kubadilishana no bac pia anaweza kujaribu na mengine.
Na yeye JS nini kilimfanya ampe namba mwanaume mwenye mke? Na yeye hana heshima ya ndoa ya huyo mwanaume...
Acha kupokea simu zake na text message zake.....................nafikiri ni kitu simple sana ambacho kitapeleka ujumbe mara moja.
Kosa ulilifanya wewe tokea. Una wa kwako na yeye ana wa kwake, kwa nini mlibadilishana namba? Mambo mengine ni ya kujitakia tu.
Mimi nikiwa na kwangu kamwe sitoweza kubadilishana namba na shori niliyekutana naye kwenye starehe. Huna msimamo bibie.
Kiongozi mara hii ushasahau mambo ya ile thread yako maridhawa. Mambo ya ONS haya!!