Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

NDANGA

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
53
Reaction score
27
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu.

Naombeni ushauri.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?

Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu, Naombeni ushuri.

Mwambie tu akuoe akishindwa uje kwangu fasta 0786111222
 
Wewe si umesema unampenda pia? Sasa watu wakipendana kuna ushauri wowote duniani unaoweza kuwatenganisha wawili hao?
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?

Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu, Naombeni ushuri.

Siamini kama una akili timamu. Hivi kweli we unataka uanze kutembea na baba'ko?
Unampenda halafu unatwambia anakurubuni!!!!
Nyie ndo mmaleta laana duniani.
"Am done"
 
NDANGA katika maisha kuna heshima na maadili !!! sasa wewe ukivipoteza hivyo hutokuwa wa maana ktk jamii.....!!! jiepushe haraka na poteza mawasiliano kbs.!! (wee bado kijana utapata wa aina yako..)
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?

Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu, Naombeni ushuri.
Nakushauri ukimbie hiyo laana wewe mtoto! Kata mawasiliano nae na ukae nae mbali! Kinyume na hapo ni kutafuta kifo si unajua mapenzi yana ua?
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?

Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu, Naombeni ushuri.

Red imebeba ujumbe wote uliopo kwenye green
 
Umeshasema unampenda sasa ushauri upi unautaka kwetu wana MMU au unataka kupima akili zetu nini??.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21. Nilianza kuwasiliana na mwanaume nisiyemjua tangu mwaka 2013. Mwanaume huyu anadai ananipenda na nikimuomba hela ananitumia na anaponiambia tuonane moyo wangu unasita.

Nimemchunguza mpaka nimemjua kumbe ni mume wa mama yangu mdogo. Mimi sijawahi kwenda kwa mama mdogo. Nikimwambia ukweli kuwa wewe ni baba yangu mdogo na mkeo ni mama yangu mdogo anakubali ukweli huo.

Lakini ananiambia eti ananipenda na hayuko tayari kunikosa na kuwa yupo tayari kumuacha mama mdogo ili anioe na mimi nimetokea kumpenda nifanyeje?

Tangu tuanze kuwasiliana sijawahi kuonana naye ila tunatumiana tu picha kwenye simu, Naombeni ushauri.

Wewe ulitakaje kwani??.
 
ukimuomba hela anatuma. Umeshampenda ila bado hujamuona! ni mume wa mama yako mdogo, anataka akuoe, now unaomba 'ushauri' coz hujuwi ufanyeje !!

'punguani wa head' by faiza fox
 
Back
Top Bottom