Hapo kwenye umri nnakuomba rekebisha kidogo, fata sunna ya Mtume wetu Muhammad Sala Allahu Alayhi Wasalaam, alikuwa na umri wa miaka 25 akaoa mkewe wa kwanza ana miaka 40.
Mie nadhani kigezo cha umri wa mume umtakae ungeishusha japo iwe 25 ni vyema ukipata damu inayochemka kwa umri wako, umri ulionao ni "prime age". Ma sha Allah, bahati iliyoje kwa manaume wenye nia ya kuoa.
Ni wazo tu.