jasmine jamil
Member
- Nov 1, 2016
- 5
- 39
- Thread starter
-
- #41
hata siwaelewi wana matatizo gani wapo wanadai mashari magumu kuna shari gani nimeweka?Yaani muda mwingine ukifuatilia comments za wachangiaji wengi hapa jamvini unaweza kujiuliza maswali mengi sana. Wanafanya utani, ni wagonjwa wa akili, wanataka sifa, bado ni watoto na wana akili za kitoto? Nakutakia kila la heri dada Jasmine.
sawa ila naona aibu kuwa na kijana mdogoHapo kwenye umri nnakuomba rekebisha kidogo, fata sunna ya Mtume wetu Muhammad Sala Allahu Alayhi Wasalaam, alikuwa na umri wa miaka 25 akaoa mkewe wa kwanza ana miaka 40.
Mie nadhani kigezo cha umri wa mume umtakae ungeishusha japo iwe 25 ni vyema ukipata damu inayochemka kwa umri wako, umri ulionao ni "prime age". Ma sha Allah, bahati iliyoje kwa manaume wenye nia ya kuoa.
Ni wazo tu.
Mashaaallah. Nafafasi ipo ya 4...kwan watatu wako tiar...Mimi ni mwanamke wa kiislam natafuta mume wa kiislam tu
Miaka yangu ni 30-35
Mume naemtaka awe 35-40
Awe mchapa kazi mwenye kujishughulisha na maendeleo
Awe mtu wa dini asipende zinaa wala shirk yoyote.
Mawasiliano jasminejamil2016@gmail.Com
sawa ila naona aibu kuwa na kijana mdogo
Yaani muda mwingine ukifuatilia comments za wachangiaji wengi hapa jamvini unaweza kujiuliza maswali mengi sana. Wanafanya utani, ni wagonjwa wa akili, wanataka sifa, bado ni watoto na wana akili za kitoto? Nakutakia kila la heri dada Jasmine.
Sasa mkuu ukipata huyo mume kutokea humu mshauri asikimbie hili jukwaa maana kwa umri huo atakwambia mala oooh! Sperm count inasumbua,mala akipiga moja usingizi mzito asiondoke kwa ajili ya ushauriMimi ni mwanamke wa kiislam natafuta mume wa kiislam tu
Miaka yangu ni 30-35
Mume naemtaka awe 35-40
Awe mchapa kazi mwenye kujishughulisha na maendeleo
Awe mtu wa dini asipende zinaa wala shirk yoyote.
Mawasiliano jasminejamil2016@gmail.Com
Hapo amekukosha haswaaaa......hadi umekubali kumtafutia?! ....maana wewe sio mtu wa ki-game-game.Allah atakujaalia na utapata mume mwenye kheri. Na In sha Allah na mimi ntajitahid kukutafutia. Amin.
Na kweli lazima uhitaji mwalimu maana ;Mimi natafuta Mke mkristo awe mwalimu,miaka 25-27 seriously anaolewa.Nimeajiliwa pia,apatikane Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida
Lol....! Sema kweli........... !!!Wala usiwe na wasi ni kawaida tu, mbona kuna mijizee ya kiume ina vibinti vidogo ?
Mtu akisha balehe hana udogo tena .
Nataka anifundishe mambo kama haya mkuu.Kwani wewe umeshindwa elewa bandiko kwa sababu ya hilo tu?au unafanya kazi TUKI?Na kweli lazima uhitaji mwalimu maana ;
Nimeajiliwa = Nimeajiriwa.
Da Faiza nipo hapa nipigie debeAllah atakujaalia na utapata mume mwenye kheri. Na In sha Allah na mimi ntajitahid kukutafutia. Amin.
Mlikua mna-discuss watu?! Small mind discuss people but Open mind discuss ideas. Hope ushaliona kundi lako. Stand to be corrected you are just a human being. Usipokua tayari kurekebishwa kila siku utakua offended pale unaporekebishwa.Nataka anifundishe mambo kama haya mkuu.Kwani wewe umeshindwa elewa bandiko kwa sababu ya hilo tu?au unafanya kazi TUKI?
Asante kwa masahihisho,lakini juzi tulijadili watu wenye fikra finyu humu na tukagundua watu aina yako wa kusahihisha vitu vidogo na wengine wengi ni kundi hilo.
Pande zipi, wabongo kwa churaMiaka yako ni 20-25 au ni kama hivyo ulivyoandika?Mbona masharti makali sana.Tuma kwanza picha yako tukuone tusije tukauziwa mbuzi kwenye gunia.Tuma picha zionyeshe pande zote.