Mume wa kiislam anahitajika

Peleka hili tangazo kwenye shura ya maimamu na uwe tayari kuwa mke nne, na nasikia waislamu hawaruhusiwi kutumia Internet sasa wewe ni mwislamu wa Dubai?

kumbe unasikia tu, uliza waislamu tukueleze
 
Muda mwingine tunazawadiwa waliopotea njia ili tuwe sababu ya wao kurudi katika Iman.
 
Peleka hili tangazo kwenye shura ya maimamu na uwe tayari kuwa mke nne, na nasikia waislamu hawaruhusiwi kutumia Internet sasa wewe ni mwislamu wa Dubai?

Teh teh vipi mkeo kakutumia hela ya chakula au bado? Cc Matola featuring [MENTION=133642] lusungo and Ritz
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume wa kiislam mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, anaejua dini na maana ya Uislam, mwenye kufuata misingi ya dini ya kiislam anahitajika hapa, nina miaka 28 ila sina mume kwani sijapata kila anaenifata hana sifa tajwa hapo juu .

Pm kwa namba, Inshallah tutaongea!
 
Ni kweli kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…