- Thread starter
- #21
As'salaam Alayk.. Weka cv yako ili muoaji amjue anayekutana nae..
unahitaji vigezo gani?
As'salaam Alayk.. Weka cv yako ili muoaji amjue anayekutana nae..
Check msikitini
Peleka hili tangazo kwenye shura ya maimamu na uwe tayari kuwa mke nne, na nasikia waislamu hawaruhusiwi kutumia Internet sasa wewe ni mwislamu wa Dubai?
Je uko tayari kuwa wa nne?
unahitaji vigezo gani?
Muombe Mungu upate mwenye kheri na wewe na dini yako,
Kupata na kukosa ni majaaliwa
Usiwache kusali na kuomba
Yupo ustadhi mmoja naweza kukuunganisha nae km hutojali
Mi nina sifa zote hizo. Pesa ninayo ya kutosha. Nipe namba
Wasifu wa nje na wa ndani pia kama itawezekana..
:sorry:
Muda mwingine tunazawadiwa waliopotea njia ili tuwe sababu ya wao kurudi katika Iman.
Duuh me nimependa majibu yako tu mdada ...makavu live....
Mwanaume wa kiislam mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, anaejua dini na maana ya Uislam, mwenye kufuata misingi ya dini ya kiislam anahitajika hapa, nina miaka 28 ila sina mume kwani sijapata kila anaenifata hana sifa tajwa hapo juu .
Ni wachache sana wanaume waislam mwenye kufuata misingi ya dini haswa kukaa mpaka miaka 30 hawajaoa, kwani kuoa mapema ni sunnaa..mtu mwenye miaka zaid ya 30 then hajaoa kuna uwezekano anazini, sasa kama anazini(kufanya mapenz bila ndoa) hapo kuna misingi ya dini dada yangu..hvo bado utakuwa na kazi ngumu kumpata huyo mwanaume labda uwe mke mwenza. Punguza vigezo watu wakamate fursa.