Mume wa kiislam anahitajika

Mume wa kiislam anahitajika

minagirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
269
Reaction score
35
Mwanaume wa kiislam mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, anaejua dini na maana ya Uislam, mwenye kufuata misingi ya dini ya kiislam anahitajika hapa, nina miaka 28 ila sina mume kwani sijapata kila anaenifata hana sifa tajwa hapo juu .
 
Mwanaume wa kiislam mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, anaejua dini na maana ya uislam, mwenye kufuata misingi ya dini ya kiislam anahitajika hapa, nina miaka 28 ila sina mume kwani sijapata kila anaenifata hana sifa tajwa hapo juu .

Polee,jitahidi kuwa mvumilivu huwezi pata mtu mwenye sifa zote unazotaka...

Angalia yeyote mwenye sifa angalau nusu..umeshazeeka sasa.
 
Ni wachache sana wanaume waislam mwenye kufuata misingi ya dini haswa kukaa mpaka miaka 30 hawajaoa, kwani kuoa mapema ni sunnaa..mtu mwenye miaka zaid ya 30 then hajaoa kuna uwezekano anazini, sasa kama anazini(kufanya mapenz bila ndoa) hapo kuna misingi ya dini dada yangu..hvo bado utakuwa na kazi ngumu kumpata huyo mwanaume labda uwe mke mwenza. Punguza vigezo watu wakamate fursa.
 
Mwanaume wa kiislam mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, anaejua dini na maana ya uislam, mwenye kufuata misingi ya dini ya kiislam anahitajika hapa, nina miaka 28 ila sina mume kwani sijapata kila anaenifata hana sifa tajwa hapo juu .
Mashallah upo tayari kua mke mdogo?vigezo ninavyo
 
As'salaam Alayk.. Weka cv yako ili muoaji amjue anayekutana nae..
 
Mwanaume wa kiislam mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, anaejua dini na maana ya uislam, mwenye kufuata misingi ya dini ya kiislam anahitajika hapa, nina miaka 28 ila sina mume kwani sijapata kila anaenifata hana sifa tajwa hapo juu .

walaikum salam,hujataja sifa,kama mke wa pili nitafute
 
Mwanaume wa kiislam mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, anaejua dini na maana ya uislam, mwenye kufuata misingi ya dini ya kiislam anahitajika hapa, nina miaka 28 ila sina mume kwani sijapata kila anaenifata hana sifa tajwa hapo juu .

Peleka hili tangazo kwenye shura ya maimamu na uwe tayari kuwa mke nne, na nasikia waislamu hawaruhusiwi kutumia Internet sasa wewe ni mwislamu wa Dubai?
 
Dogo acha kudanganya uma hapa....
 
Ni wachache sana wanaume waislam mwenye kufuata misingi ya dini haswa kukaa mpaka miaka 30 hawajaoa, kwani kuoa mapema ni sunnaa..mtu mwenye miaka zaid ya 30 then hajaoa kuna uwezekano anazini, sasa kama anazini(kufanya mapenz bila ndoa) hapo kuna misingi ya dini dada yangu..hvo bado utakuwa na kazi ngumu kumpata huyo mwanaume labda uwe mke mwenza. Punguza vigezo watu wakamate fursa.

kwani kigezo gani kigumu hapa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom