kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Hapo sasa ndio pa kula hela za shemu mkuu fanya juu chini ajue kwamba umemuona na unajua kwamba ameingia gest ila note usimwambie dada yako kamwe.Wakuu nipo mjini hapa nimekuja likizo kumwona sista.. Sasa nilikua na tembelea mitaa fulani hapa siku amini mbele yangu shemeji yangu anaingia na mrembo lodge fulani hapa mjini
Ushauri vipi niseme ili nimwokoe Dada yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nipo mjini hapa nimekuja likizo kumwona sista.. Sasa nilikua na tembelea mitaa fulani hapa siku amini mbele yangu shemeji yangu anaingia na mrembo lodge fulani hapa mjini
Ushauri vipi niseme ili nimwokoe Dada yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
unataka umwoe dadako?Wakuu nipo mjini hapa nimekuja likizo kumwona sista.. Sasa nilikua na tembelea mitaa fulani hapa siku amini mbele yangu shemeji yangu anaingia na mrembo lodge fulani hapa mjini
Ushauri vipi niseme ili nimwokoe Dada yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe mgogo kiboko sanaHapo sasa ndio pa kula hela za shemu mkuu fanya juu chini ajue kwamba umemuona na unajua kwamba ameingia gest ila note usimwambie dada yako kamwe.
CC Zero IQ
labda anafikiri hiyo ni pensali dadake akichangia na mwingine itaisha
Mimi sio mgogo mkuu mi mpogoro pure from moro ila Dom mishe tu