Mume wa Dada nimemwona ameingia guest house vipi nilipue bomu kwa Dada?

Wakuu nipo mjini hapa nimekuja likizo kumwona sista.. Sasa nilikua na tembelea mitaa fulani hapa siku amini mbele yangu shemeji yangu anaingia na mrembo lodge fulani hapa mjini

Ushauri vipi niseme ili nimwokoe Dada yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa ndio pa kula hela za shemu mkuu fanya juu chini ajue kwamba umemuona na unajua kwamba ameingia gest ila note usimwambie dada yako kamwe.

CC Zero IQ
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom