Mume na Mke watumbukia katika shimo la choo wakigombana.

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,266
Wanandoa Mume na Mke waliokuwa wakiishi eneo la kangemi jijini Nairobi wamepoteza maisha baada ya kutumbukia katika shimo la choo chenye urefu wa futi kumi na mbili ambacho kulikuwa kinatumika wakati wakigombana.
===========================

A domestic quarrel between a wife and husband turned tragic after they slipped and fell into an open pit latrine while fighting in Kangemi.

According to neighbors, Peter Nyamache Makori, 27 and his wife, Clarence Chepkurui, 24, had differed in their house before they argued and started chasing each other.

However, they slipped and fell into a 12 feet open latrine and lost their lives.

“As Nyamache chased Chepkurui, she ran to where an open latrine was that has been serving as a sewage for the residents of houses here. She fell in and we suspect the husband tried to go for her leading to his death too,” An eye witness said.


Chanzo: K24

 
Inasikitisha sanaa
93f0775cc36c8048b2d1fbf12816ba4b.jpg
 
Wameweza kukufa, na wamekufa mavi (sio maji)
Mkataa pema..........
 
Duh wamekufa kifo cha mateso sana.Mungu awaweka mahali pema peponi.Amina.
 
Back
Top Bottom