Mume mwema

Nashindwa hata kujibu swali gumu. Kwani ina maana hakuna walio na umri zaidi yangu hawajaolewa? mbona wapo wengi tu ni muda tu mungu akikupa anakupa huna haja ya kulazimisha.

Wasikukatishe tamaa kula kulala, nipo tayari kama upo tayari kubadili dini
 
Nashindwa hata kujibu swali gumu. Kwani ina maana hakuna walio na umri zaidi yangu hawajaolewa? mbona wapo wengi tu ni muda tu mungu akikupa anakupa huna haja ya kulazimisha.

Nafikiri usiumize kichwa just mjibu ndio sijaolewa
 
Hodi tena kwa mara nyingine wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42 ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao mmoja ili tuanzishe familia awe hajaoa. Mimi ni mkristo mlutheri na, nimechoka kukaa peke yangu upweke umenichosha. Kwa aliye tayari anipm ili tuweze kuwasiliana zaidi.

Please nipo serious ila naomba kejeli, maneno ya kashfa hayahitajiki

umeshampata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom