Mume mwema anahitajika

Mume mwema anahitajika

habali za humu wapendawa ,nimsichana umri miaka 23,.naitaji mme mwema..mwenye kujitambua.umri miaka 26-35a aliye tayal ani pm.

hivyo tu ndo upate mume mwema eeh? pole sana, mpaka utazeeka. labda nenda facebook.
 
Utapgwa Harusi Tu, Mdogo Wangu Na Mme Hutamwona, N Pm Nkupe Namna Bora Ya Kumpata Mme Mwema,,, Usiache Kama Kwel Unania.
 
Mwanaume mwema kwako ni baba yako pekee ndiyo maana amekulea kufikia umri huo bila ku expect chochote toka kwako as return! Ukimpata huyo mume mwema tupe mrejesho ili nasi tukaoe dada zake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom