Mume mwema anahitajika

Mume mwema anahitajika

chi-mamy

Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
30
Reaction score
12
Habari za humu wapendawa,

Ni msichana umri miaka 23,nahitaji mme mwema mwenye kujitambua umri miaka 26-35.

Alie tayari ani pm
 
tatizo usemi ukweli na utopata kamwe ila waoaji tupo kama utakuwa mkweli unajishuulsha vigezo then uta nipata
 
habali za humu wapendawa ,nimsichana umri miaka 23,.naitaji mme mwema..mwenye kujitambua.umri miaka 26-35a aliye tayal ani pm.
habali=habari,naitaji=nahitaji,tayal=tayari
Nina hofu hata jina Markia=Malkia.
Aina hii ya uandishi utajikosesha wanaume walio makini.Jitahidi kuboresha Kiswahili chako dada yangu.
Nakutakia mafanikio mema kwenye tangazo lako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom