mume mtarajiwa

maimatha

Senior Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
129
Reaction score
162
mimi ni msichana ninamchumba ambae tunampango wa kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu namaanisha kilakitu kimekamilika nivikao vinaendelea tu!!!! kubwa lililonileta hapa juzi nilikua nampima mchumba wangu huyo kama bado anaweza nisaliti hii ni kutokana na kuapa mara kwa mara kuwa hawezi nisaliti na story kibao! juzi nikafungua acount FB nikamuadd kwa jina lingine na picha za mtu mwingine nikachart nae mpaka akapanga promise tukutane ili tugegedane na sifa kibao kanisifia!!! hili jaribio linadhililisha jinsi gani asivyo mwaminifu na hii ni uchumba tu je nikishazaa hata watoto 2 sindio atakua analala nje kabisa nimesikitika na sijui niamue nn kwani tayari vikao vya harusi vinaendelea
 

shukuru ushamjua mpenzi wako ni sawa na mbwa wako kumjua jina usikonde moyo..
 
Hii stori bado haijakamilika vizuri haswa katika kijiwe chetu hiki cha upashkuna...

Ulipaswa uendelee naye huko FB usiishie hapo tu pa kupanga kugegedana...

Hakikisha unafika hadi eneo la tukio, tena hakikisha wewe unakuwa wa mwisho kufika ukiwa umechelewa...

Mpige hilo surprise halafu ndio uje tena utusimulie mwayego...ikiwezekana nenda hata na Gea Habib teh teh

Wenzio huku Tandale kwa Ndevu tumezoea bila kusikia umbea umbea siku haipiti atii...umbea sunna!!!
 
sasa mliishia wapi?

Alikugegeda?

Yani kuna watu wa ajabu kweli, mtu analazimisha majaribu kabisa!

Hongera lakini kwa mtego mzuri!
 
inaonekana maimatha ni jina lako halisi.... sasa kama naye ni member wa jf akaona hii post...sitaki kufikiria nn kitatokea
 

ulimjaribu naye amejaribika, tatizo ni nini? umepata ulichotaka sasa shida yako nini?
 
Dada una matatizo... Ni nini kumjaribu mwenzio??

Ukimchunguza bata hutomla....

Wengine husems hakuna mwanaume wa peke yako!!!
kwanza pole na kufiwa dearest
pili mwambie asome signature yangu
 
Hata wewe kama unaweza ni a/c yako ya fb uone kama utatoka. Kumbuka kuwa mapenzi hajaribiwa hata siku moja na kila mwanaume anapenda kula ki2 kipya kila wakati hivyo huo mtego wako kwa mwanaume 95& lazima ajae.
 
alidhani kuna kilewo wengi hapa bongo? kilewo ni mmoja tu wa joyce kiria ndo Hagegedi nje
 
kwanza pole na kufiwa dearest
pili mwambie asome signature yangu

Lol, umepelekea na mie kuisoma, watu mna visa kweli kweli, tumpe miaka yake kadhaa ndani ya hiyo ndoa yake huyo.
 
nakumbuka hii story ilishawahi kuja hapa, ila we olewa tu, kukusaliti jua kupo muda wowote.
 
Umeyataka mwenyewe, vumilia tu sasa, kitu gn kilichokupelekea ukaanza kumchunguza mwenzio ili hali kila kitu kishakamilika km sio umbea?hapo awali ulishindwaje kumchunguza?we umepata bahati ya kuolewa taratibu zishakamilika hayo mambo mengine achana nayo utakuja kufa kwa presha bure.kaa utulie usubirie ndoa tena ukome kabisa usirudie tena.
 

we angalia binti wa watu asije achwa dada sikushauri kuchukua ushauri huu
Maana nijuavyo mie mwanaume ukigundua mke wake ananusanusa sana miguu yako anajua kabisa kwamba huyu ataniletea shobo ndani ya nyumba kwahiyo suruhisho ni kupiga chini
Kwa hiyo nakushauri maadamu ushayajua mapungufu ya mmeo mtarajiwa basi we kula ganzi ndo maisha hayo ushaambiwa hakuna mwanaume wa peke yako so mind ur own busness
 
lol, umepelekea na mie kuisoma, watu mna visa kweli kweli, tumpe miaka yake kadhaa ndani ya hiyo ndoa yake huyo.
miaka wapi nasikia watu wapo mzigoni na picha keshapewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…