Mume/mke wa mtu sumu jamani....

Unamshika mkono kwa upendo na kumshukuru kwa kazi nzuri aliyoifanya! Kisha unamfungulia mlango na kumsindikiza! Mamie wala humgasi kama hakikutokea kitu! Nakwambia atajinywea sumu siku ya pili!

Wewe ndugu acha kutuzuga inaelekea hujaoa!
 
Na kweli ni mke/mume wa mtu ni sumu. Hebu ona hawa jinsi wanavyopendana na kujaliana, halafu wewe uende ukaingilie penzi lao na ndoa yako! Yanaweza kukuta zaidi ya huyo dogo aliyemwagiwa tindikali.
 
Asilimia kubwa ya wanaume wakifumunia HUFA kwa presha au hata au angalau kuzimia kwanza. Na ndio maana wengi hawaaminigi wakisikia wake zao wanatoka nje ya ndoa.
 
Asilimia kubwa ya wanaume wakifumunia HUFA kwa presha au hata au angalau kuzimia kwanza. Na ndio maana wengi hawaaminigi wakisikia wake zao wanatoka nje ya ndoa.

hivi huwa amuamini kwamba ndio ulichokiona au? mana sie tuliwafumania tunakuwa ngangari, wengine ndio vurumai, wengine ndio ujiondokea kabisa eneo la tukio bila kuhoji na bado mna nguvu za kuja kuomba msamaha cjui kitu gani mweh.
 
Huu ni uwongo mtakatifu, hauwezi kuungua kiasi hiki halafu ukasimama/ukawa hai. Ni lazima ufe tu.
 
huyu kaungua au ni tattoo hizi? hii habari inahitaji kuthibitishwa zaidi.
 
huyu kaungua au ni tattoo hizi? Hii habari inahitaji kuthibitishwa zaidi.

hehehehe duh ndungu yangu hiyo nimeitoa kwenye blog ya pasion 4 fashion anawek amikasa ya ukwelei every day inayotoekea mahakamani.....
 
Hakuna penzi tamu kama la kuibia , dah lina raha yake achilia maumivu utakayo pata ukijiwekea mabaunsa unakula kiulaini..
 
Hakuna penzi tamu kama la kuibia , dah lina raha yake achilia maumivu utakayo pata ukijiwekea mabaunsa unakula kiulaini..

Naunga mkono hoja! Hakuna penzi tamu kama la kuibia. Kwanza unajiona bingwa kweli kweli. Maana umemega mke wa mtu...shiiit.....ila ndio hivyo inabidi uwe sneaky kweli kweli la sivyo ukibambwa unaweza kujuta kuzaliwa
 
Mtumeeeeeeeee,ndio jamaa kafanywa hivi.duu.kweli mke/mume wa mtu ni sumu hasa lakini kwa wakati huo huo ni watamu acha tu.
 
Naunga mkono hoja! Hakuna penzi tamu kama la kuibia. Kwanza unajiona bingwa kweli kweli. Maana umemega mke wa mtu...shiiit.....ila ndio hivyo inabidi uwe sneaky kweli kweli la sivyo ukibambwa unaweza kujuta kuzaliwa

Na siku jamaa kaikutazama usoni hata kwa kutojua unazimia ghafla; kama sio kujikojolea kabisa! maisha gani hayo unakuwa ni mtu aliyesomewa fatwa
 
mwenye kosa hapo ni mke utatokaje nje ikiwa unajua umeolewa huyo kaka kaonewa
 
Naunga mkono hoja! Hakuna penzi tamu kama la kuibia. Kwanza unajiona bingwa kweli kweli. Maana umemega mke wa mtu...shiiit.....ila ndio hivyo inabidi uwe sneaky kweli kweli la sivyo ukibambwa unaweza kujuta kuzaliwa
Kazi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…