Mume/Mke bora

Mume/Mke bora

Isumbwile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
801
Reaction score
362
Habari zenu WanaMMU,

"Perfection is not attainable, but if u chase for perfection, you can catch excellence", those aren't my words but the words of Vince Lombardi.

Hapa Vince alijaribu kuelezea kwamba ukamilifu hauwezi kufikiwa ila kama utajaribu kuutafuta unaweza kuambulia ubora. Siku zote huwa tunajitahidi kupata kile kilicho bora katika maisha na hivyo ndo tulivyo binadamu wengi. Tunaishi katika mazingira mbalimbali na mara nyingi mambo yanatofautiana sana.

Leo tujaribu kuongelea kuhusu mwenza bora hapa nikimaanisha zaidi mke bora au mume bora. From my

Perspective hivi ni baadhi ya vitu ambavyo vinamfanya mwenza kuwa bora;

1. Listens to his/her partner and does best to please him/her.

2. Always considers his/her partner's well-being.

3. Doesn't give his/her partner stress but peace of mind.

4. Doesn't spend more than what his/her partner earns.

5. Helps his/her partner at the times of problems.

6. Has patience & calm when his/her partner doesn't treat him/her justly.

7. Behaves and dresses smartly & modestly.

8. Learns and practices religion and teaches his/her partner too.

9. Does his/her best to rise their children in religious way

10. Always supports his/her partner in a good way.

Hayo ni yangu machache, vp kuhusu wewe; Kwa wadada- married or single, ni kipi unadhani kinakufanya uwe mke bora au kitakufanya uwe mwenza bora siku za mbeleni.

Pia sio mbaya kama ukaweka baadhi ya vitu ambavyo vinamfanya mwenza wako kuwa bora. To my fellow men; married or bachelors, kitu gani kinamfanya mkeo au mwenza mtarajiwa kuwa bora?

Karibuni tubadilishana mawazo
 
Do's and Dont's in the laboratory.
 
Mi naona kunielewa na kunithamini ni factor kuu inayofanya awe mwenza bora.
 
Nakubaliana na point zako lakini umesahau vipengele vingi vyenye uzito mkubwa:
  1. UPENDO-Ajue kupenda,mapenzi ya dhati ndo yanayowaunga watu wawili na kudumisha mahusiano.Kama watu wako pamoja kutokana na sababu nyingine zaidi ya upendo wa ukweli basi uhusiano wao utalegalega.
  2. KUAMINIANA:Ili kumuamini mtu inapaswa ww binafsi ujiamini,kama "confidence zero" hakutakuwa na mizizi ya kumuamini mtu mwengine.Kwasababu ww binafsi utakuwa so insecure kwamba unaona kila analofanya mwenzi wako au alolifanya linahusiana na ww kwa namna moja au nyingine unakuwa unajishutumu na kumhukumu angalipo inawezekana ni vitu vya kawaida tu vinavyotakiwa kuenda bila mikwaruzano.
  3. KUHESHIMU/KUJIHESHIMU:Ni muhimu kuheshimiana na kuheshimu wengine kwa pamoja,tambua thamani ya mwenza wako na thamini utu wake.Hata mkiwa na mikwaruzano ya aina gani keep it back on ur head kuhusu HESHIMA.Dharau,kejeli,dhihaki si vitu vinavyopaswa kutumika kuwakilisha mahusiano.
  4. KUJALI:Hili umeligusia Isumbwile,muhimu kujali hisia za mwenzako,linalendana na heshima kwa namna moja au nyingine.Wengi wanaona kujali ni "MATERIALISTIC FACT"!Yaani mtu mpaka apewe kitu ndo ajisikie anajaliwa.Please gentleman/lady is he/she treats you like ---- HAKUJALI.Mtu ukiwa unamjali hutoweza kuvumilia fact ya kwamba unamuumiza mtu,hata usingizi hautokuja.
  5. KUTHAMINI:Tambua thamani yako,kama wewe mwenyewe hujui una thamani gani hakika mwengine hatoijua.Nimeligusia kwenye heshima hili pia.
 
Well said gorgeousmimi
 
Last edited by a moderator:
Mmesahau key kubwa sana ambayo inaleta yote hayo..mke au mme bora lazima awe mfanya ibada/mchamungu .hayo yote yakuja otomatic
 
Back
Top Bottom