Mume mchumba anatafutwa

Nimekwama hapo kwenye age mkuu
 
Asikose pia kwenda kwa Mwamposa. Ahakikishe ananunua maji, udongo, chumvi na sabuni ya upako.

Hahaha haha!!!Β‘!!!!
Hilo siwezi kushauri maana mimi sijawahi kuhangaikia ndoa namna hiyo..... enzi naolewa mimi ukitaka kuolewa chap kwa sangoma unaoga zako dawa mchumba anakuja kugonga hodi mlangoni. πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸƒβ€β™€οΈ
 

Kwasangoma siwezi
 
Hapo kwenye miaka kipengere,age ain't a number!
 
Ungekuwa hujaolewa...ningekuomba ukaniogee mimi hiyo dawa ili....chap.. 🀸
 
Una mapungufu gani makubwa ambayo hujayaandika hapa kwenye tangazo lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…