user1787595691
Member
- Aug 24, 2026
- 27
- 36
Tatizo kubwa la mabinti ni kuangalia leo badala ya siku za usoni. Binti ukiruhusu tumbo lako likalea kiumbe mpaka ukakileta duniani kabla ya ndoa, kubaliana na usemi kuwa ndoa ni majaliwa.Jamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha
Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma
Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Umenena🫡Tatizo kubwa la mabinti ni kuangalia leo badala ya siku za usoni. Binti ukiruhusu tumbo lako likalea kiumbe mpaka ukakileta duniani kabla ya ndoa, kubaliana na usemi kuwa ndoa ni majaliwa.
aviator ni nini??Kama huna kipato cha kueleweka upite kama aviator.
Tena cha sportpesa🤣🤣Kama huna kipato cha kueleweka upite kama aviator.
Akucheck kwa hiyo namba ya EYATELI?Aliye serious na maisha anicheki
Kwanini baba wa huyo mtoto asikuoeJamani, mimi natafuta mchumba wa muda mfupi tukijuana awe mume kabisa sifa ni kama ifuatavyo
1. Umri - kuanzia 36-45
2. Kabila - lolote
3. Dini - Mkristu
4. Mkoa - Dar,Dom, Moro au popote ila afikike ki urahisi
5. Watoto - hata akiwa nao wasizidi wawili
6. Kazi- yoyote ila awe na kipato kinachoeleweka
7. Elimu - kuanzia Diploma hadi Professor nakaribisha
Sifa zangu
Umri - 36
Kazi - Biashara
Dini - Mkristu
Mtoto - Mmoja
Naishi - Dodoma
Aliye serious na maisha anicheki tusonge mbele. nipo serious.
Karibu
Kile kindege cha kamari kinachoongoza kifilisi vijana wakamaria.aviator ni nini??
Hebu nifundishe leo sina kazi nione kinavyofirisi.Kile kindege cha kamari kinachoongoza kifilisi vijana wakamaria.