Sijaelewa swali, aliyeleta mada aje kutufahamisha, labda tunatakiwa kuwa nao wote watatu na hatujui 😅Binti wa zamani njoo kwenye kipendacho roho ujibu......
Yule unaempendagirls, ninani hua anakufikisha kileleni
Mume wako, boyfriend wako au mchepuko wako ?