...amekuta kwenye makabrasha ya mumewe kumehifadhiwa zana (condoms) na kabla hajamuuiliza mume akatoka kwa muda mrefu (Saa tano asubuhi na kurudi mida mibovu usiku sana) akiwa hana zile zana. Mke ikabidi aulize na hapo ndipo ugomvi mkubwa ukazuka. Sasa mke hana raha anaona usalama tena haupo je tumsaidieje?
kama anatembea na zana basi anamjali na anajijali !anajilinda na ajali kazini .amsamehe
Pole sana mama, namshukuru Mungu kwa yote, ila hiyo ni dalili tosha kwamba mwenzio sio muaminifu kabisaaa. Kapime miwaya ukiwa fit shukuru Mungu. Yani kwa kweli jamaa hana aibu kweli. Na mwambie aanze na yeye kubeba condom kwenye pochi yake...atakaye kuja tumia naye na huyo mume vilevile pia atumie naye kama bado wanataka kuendelea na maisha. Duh!
kama anatembea na zana basi anamjali na anajijali !anajilinda na ajali kazini .amsamehe
1. Jitulize kwanza, punguza hasira, busara ni bora kuliko mitulinga.
2. Fanya HIV test, kama uko salama, acha kutembea na mumeo mpaka uhakikishe naye yupo salama.
3. Ipeleke issuekwa wzazi/msimamizi wenu wandoa maana ndio kazi yake hasa anapofanywa msimamizi wa ndoa wenu waeleze hatari anayoileta mume wako.
4. Kaa mjadiliane
5. kama hataki yeye sio OXYGEN, thamini maisha yako kuliko kuwa na yeye.

Ni kweli mkuu,matangazo yanachochea sana kasi ya watu kupenda uroda;na nafikiri lengo lao limekaa kibiashara zaidi kuliko huduma.Matangazo yametuathiri sana ingawa yanafaa kwa kutulinda. Matangazo yote ya kondomu yanadai tuache zinaa, tuwe na mpenzi mmoja na tukishidwa tutumie kondomu, sioni tatizo la mume kukutwa na kondomu, na bado sio kigezo cha kufanya uzinzi. Tatizo kubwa la wanawake ni kupenda kupata majibu rahisirahisi kwa mambo yanayohitaji majibu mujarabu kwani si kweli kuwa aliyepo chumbani basi kalala. Kwa ufupi afanye uchunguzi wa kutosha na sio kukurupuka
..Fidel hivi huyu dada mmemuelewa lakini maelezo yake? Naona wengi mnampongeza jamaa kuwa anajali...how far are you people?? Kukutwa na condom kisha ukaondoka uliporudi hazipo haina maana kuwa ulienda kuzitumia jamani. Huyo wanatakiwa wote waende kupima tu mambo ya kuwa eti kukuta condom ndani ina maanisha jamaa anajali si kweli. Kuna rafiki yangu tulikuwa tunaishi gheto moja mle ndani tulikwa tumeweka box la condom for easy accessibility lakini na jamaa tulikuwa tukipiga story night anadai alikuwa ana-maintain kutumia condom, just last week binti kaleta kizaazaa ana mimba na kwenye box condom zinapungua siamini kama napunguza peke yangu!!!Huyo mama punguani kweli.
Angetakiwa ammpongeze baba watoto kwa kujali....inaonyesha baba yupo makini kweli maana anatumia zana.....je angekuwa anajipigia kavu huyo mama angejua?
Afadhali ameziona na sasa awe na uhakika mme wake anajali hasahau zana na inatakiwa huyo mama awe ananunua zingine kama siku za week ana muwekea kwa koti.