Mume kutandika kitanda.

kwani ndoa inadumishwa na mila au upendo wa dhati na kuchukuliana?
Asnam hii avatar yako ya sasa mmmh!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Me naona ni vema aneamka wa mwisho atandike kitanda.kwa hiyo ipo vizuri hiyo..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kawaida sana ila ukishatandika wife lazima ajifanye kurekebisha kidogo sijui hawatuamini
 
Mbona ni issue ndogo sana hii, tena inaonyesha ni jinsi gani mwanaume yupo makini, kutandika kitanda ni tabia ambayo imejengwa tangu mtu yupo kula kulala kwa wazazi wake. Wanaume wengi wasiopenda kutandika kitanda hata background yao sio nzuri kwenye masuala ya usafi wa mwili (kama ni boarding school unakuta mtu yupo yupo tu alafu anajifanya msela). Siku mtu augue ghafla alafu amarudishwa nyumbani akapumzike huku amebebwa ndo atajua umuhimu wa kitandika hata kama ni kidume maana kuna watu nje wanaonekana smart ukiingia anapolala huwezi amini
 
Tatizo ni nini kwa mwanaume kutandika kitanda!? Mikono itakatika au ni aje!? Maisha kusaidiana, kutandika kitanda kamwe hakukupunguzii uanaume wako.

 
Last edited by a moderator:
misingi ya ndoa ni upendo wa kweli toka pande zote mbili yaani mume na mke, sasa mume ktandika kitanda ubaya uko wap?Na c kutandika kitanda tu mume aweza fanya kazi yoyote ya ndani inategemea na upendo uliopo kati yenu,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…