MEKADDISHKEM
Senior Member
- Sep 15, 2016
- 153
- 150
Duh hongera sana,sasa kwann hio hali imebadilika?Enz za ujana wangu moja ya weaknes zangu kwa mwanaume akiniita mama tu, hata awe kankosea nin najikuta melainika namsamehe, wakat akbembeleza akitia neno tu mama nielewe/nisamehe nasamehe kiulain. Nafeel kanheshmu sana kuniita mama, haya mengne cjui hny, swt naona kawaida sana hata cshtuk.