mwangahikaji
Member
- May 14, 2013
- 98
- 35
du mama yako ana umri gani kwa sasa?nimejaribu kuongeanae lakini chajabu kila nacho mwambia hana mueleza mume wake
Pole sana mwangahikaji.Yapo mengi hujaweka wazi.Kisa cha mama kumwacha baba ni nini? Baba alijenga nyumba ya familia? Kwenye mirathi wewe unazo haki gani? Mama kaolewa kisharia ama anaishi tu na huyo baba mpya? Hebu jieleze zaidi.Kiukweli napenda kusema mapenzi yana fanya mtu kupoteza uhai wake maana baada ya mama yangu kumuacha baba yangu ndipo baba kufariki na presha na kujikuta sina la kufanya na sina pakwenda mpaka sasa maana mume wa mama yangu wasasa hani hitaji mimi sijui nifanyeje naombeni ushauri wenu ukicheki bado na penda kusoma lakini hata ndugu zangu kwa upande wa baba si wajui na mama ndokapenda hasikii wala ambiwi juu ya mwanaume wake huyo...
nina miaka 23 hadi sasa
Asante sana kwaushauri wako nitajitaidi kuwa mvumilivu katika maisha haya.
Baba yangu alikuwa ana mpenda sana mama na kufikia hatua ya kumwandika jina lake kwenye mali zao zote walizo chuma hapo awali kabla hata mimi sija zaliwa ndiyo maana hata alivyo kufa ilikuwa ni kama wiki moja mama kumkimbia baba na ndipo umauti ukamkuta baba kiukweli nilishindwa hata kuongea na baba yangu lolote kutokana na uchungu alio kuwa nao nilijaribu kumueleza tufanyejee akawa ni mtu wakulia tu nakushindwa kunijibu lolote mpaka kufa kwake hajawa muwazi kwangu kiukweli ina uma sana.
Aisee unaongea kwa huruma ile mbaya, ushakuwa mkubwa wa kujitegemea kabisa, kubaki unalilia mali za mama yako sio inshu kabisa huyo ni mama yako na itabaki kuwa hivyo milele, pambana kivyako na jifunze kutokana na makosa ya mshua wako usije kurudia makosa yafuatayo:
1. Usiandike mali zote jina la mwanamke
2. usiwe mtu wa kulia lia
2. Uwe na kiasi kwa kila jambo (hata kupenda) usije na wewe ukaaga mapambano mapema kama mshua
Note: Hata wewe utaachwa sana tu hayo ndo maisha yetu, Jipange dogo. Pia kumbuka hakuna mtu anaitwa 'MUME WA MAMA YANGU' sema BABA MDOGO au BABA WA KUFIKIA hata kama humpendi.
Mwisho: Pole kwa kumpoteza MUME WA MAMA YAKO.