mwangahikaji
Member
- May 14, 2013
- 98
- 35
Kiukweli napenda kusema mapenzi yana fanya mtu kupoteza uhai wake maana baada ya mama yangu kumuacha baba yangu ndipo baba kufariki na presha na kujikuta sina la kufanya na sina pa kwenda mpaka sasa maana mume wa mama yangu wasasa hanihitaji mimi sijui nifanyeje naombeni ushauri wenu ukicheki bado napenda kusoma lakini hata ndugu zangu kwa upande wa baba si wajui na mama ndo kapenda hasikii wala haambiwi juu ya mwanaume wake huyo...