THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,726
- 15,058
ambwambie avae incontinence pads. They are like pedi za wadada lol
zina-absorb liquid so at least kitanda hakitalowa kila siku. kuhusu matibabu wajaribu urologists au madaktari wengine wa wakina baba, eventually watapata prognosis sahihi. wape polezinaweza msaidia??
Na kukomesha kabisa tatizo hili haiwezekani kabisa??
zina-absorb liquid so at least kitanda hakitalowa kila siku. kuhusu matibabu wajaribu urologists au madaktari wengine wa wakina baba, eventually watapata prognosis sahihi. wape pole
zina-absorb liquid so at least kitanda hakitalowa kila siku. kuhusu matibabu wajaribu urologists au madaktari wengine wa wakina baba, eventually watapata prognosis sahihi. wape pole
sidhani kama suala la kukojoa kitandani ni sababu tosha ya kupeana talaka. Anaweza kumfundisha mumewe kuwa msafi, na kuepuka kunywa vitu vya maji maji usiku kupunguza hatari ya kukojoa usiku. Huyo mume anaweza kutumia muda mwingi kufanya kazi zake usiku ili akichelewa kulala apunguze hatari ya kukojoa kitandani. Anaweza kuvaa hata pampas za wakubwa na akisha kojoa usiku avue na kuendelea kulala bila pampas.
Kumbuka kuwa huyo kaka hakuomba kuugua huo ugonjwa, na kuvunja ndoa kwa sababu ya hilo tatizo la ugonjwa ambalo linavumilika na linaweza kutibika ni kutomtendea haki. Mtie moyo na nenda au mshauri aonane na wataalam wa afya mara kwa mara kwa msaada zaidi.
Sidhani kama suala la kukojoa kitandani ni sababu tosha ya kupeana talaka. Anaweza kumfundisha mumewe kuwa msafi, na kuepuka kunywa vitu vya maji maji usiku kupunguza hatari ya kukojoa usiku. Huyo mume anaweza kutumia muda mwingi kufanya kazi zake usiku ili akichelewa kulala apunguze hatari ya kukojoa kitandani. Anaweza kuvaa hata pampas za wakubwa na akisha kojoa usiku avue na kuendelea kulala bila pampas.
Kumbuka kuwa huyo kaka hakuomba kuugua huo ugonjwa, na kuvunja ndoa kwa sababu ya hilo tatizo la ugonjwa ambalo linavumilika na linaweza kutibika ni kutomtendea haki. Mtie moyo na nenda au mshauri aonane na wataalam wa afya mara kwa mara kwa msaada zaidi.
mkuu horsepower umesomeka vzr kabisa
ila pia kulikua na utata na mgongano wa mawazo pia kwamba vipi linaweza tokea tatzo hili ukubwani tuh tu from nowhere?
Then kwa waganga hosp na miti shamba wamehangaika sana,je kuna uwezekano wa kuwepo kwa iman za nguvu za giza?
Kama yale ya hosp ya temeke ya kugandana??
Hili la pampas mtihani aisee... Sijui lakini ninavyoelewa inaweza mwaribu psychologically kabisa mwanaume to the extent akashindwa hata nguvu za ushiriki wa ndoa upande wa intimacy ya kitandani... Naona kama vile bora kuamka walau mara mbili kwa usiku mmoja kwa ajili ya kupunguza mkojo.
Mpe kolani akojolee, tiba tosha.
Pili mwambie asiwe anakunywa vinywaji ifikapo jioni.
Mpe kolani akojolee, tiba tosha.
Pili mwambie asiwe anakunywa vinywaji ifikapo jioni.
Are you out of your mind?? Watu hapa wapo serious wanatoa ushauri wa kumsaidia mwenzetu wewe unaleta mambo ya ajabu ajabu..! Jiheshimu Kaka Jambazi..!!
Mhhhm itabidi sasa avalishwe condom time analala :biggrin1:Hili la pampas mtihani aisee... Sijui lakini ninavyoelewa inaweza mwaribu psychologically kabisa mwanaume to the extent akashindwa hata nguvu za ushiriki wa ndoa upande wa intimacy ya kitandani... Naona kama vile bora kuamka walau mara mbili kwa usiku mmoja kwa ajili ya kupunguza mkojo.