Mume HIV+ anahitajika

Nina miaka 27,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa.
NB: Kigezo cha dini jamani ni muhimu.
Ushapata??
 
Wewe dada mbona muoga sana tafuta ambae aja hathirika na ww acha uoga unatumia dawa uwezi ambukiza una bahati mm nimeoa na nina watoto 6 umri wangu miaka 37 ningekuwa cjao ningekuoa na dini ningebadilisha aisee na tungekuwa tunatafunana kavu kavu na siogopi ww unatumia dawa kuambukiza uwezi acha uoga.. Any way Mungu akupe hitaji la moyo wako mana mm haoo sina sifa hata moja kwanza niko above 35...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom