Mume HIV+ anahitajika

Mume HIV+ anahitajika

una umri gani,elimu kiasi gani unafanya kazi gani na detail nyingine majibu ya maswali yangu nataka nithaminishe nikiridhika nijitoe muhanga
 
Tulia uandike vizuri ueleweke, siyo kusema Muislamu, awe na hofu ya mungu mengine pm.
1,UMRI WAKO?
2,ELIMU YAKO?
3,UNAEMTAKA AWE NA UMRI NGAN?
"UMETOKA USINGIZIN NN?
 
khaaa hii hatari aisee.... mbona pale angaza naskia huwa wanakutanishwa na wanaoana?
 
duuuuhh hatari kwel yaani haya matangazo wanavotoa kwahyo wewe details zako ziko wapi
details mbwembwe tu hata nikisema nina phd haitanifanya kuwa mke bora, najiamini ni mrembo na sifa ya kuwa mke ninayo. Na nimtakae akiwa na hofu ya mungu inatosha
 
details mbwembwe tu hata nikisema nina phd haitanifanya kuwa mke bora, najiamini ni mrembo na sifa ya kuwa mke ninayo. Na nimtakae akiwa na hofu ya mungu inatosha
Jaujaeleza kisa cha kutafuta muathirika wa ukimwi.
Huo ni unyanyapaa wa kiwango cha changarawe.
Nenda kwenye kliniki za CTC utakuta watu wengi wanaopata ushauri nasaha ukatege. Shirikiana na mganga kuchambua majina ya kiislam, halafu jilengeshe.
 
Hongera wameona umecomment
 
Jf panafurahisha sana utasikia size ya matiti
Size ya hips
Size ya kiuno
Na mengine kibao
 
Mmh mbona mnakuwa wakali hivyo kwake khaaaa
Kila la kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom