Mwambie amchunguze pengine kaanza ubwabwa. Mwanamme rijali hakatai unyumba hata akiwa na vimada 20 nje, tena akatae unyumba miezi 5?? gademu!
.Hapa kuna tatizo kubwa saana Aminata.... Huyo Mke kwa upande wangu namuona kana kwamba ni very SELFISH.... (Sorry dear kama nitakukwaza for she is your friend...) Sababu za mimi kufikiria yupo selfish ni as follows....
Kwanza... Hio story the way rafiki yako kakusimulia (taking it for granted kua umeandika kama alivokusimulia); Ni kana kwamba anataka awe sympathised kua yeye ndie anae onewa na mwanaume ndie wa kulaumiwa na afikiriwe kua ana mienendo mingine hasa huko nje hasa ya wanawake wengine.... Labda nakosea ila mimi ninavoelewa... Kwa mwanaume ambae ana hawara nje kwa miezi sita akujia usiku na mara asubuhi; kama kweli hilo ndio linalomuweka huko nje angeleta jeuri kwa mkewe kwa kutojali kama mkewe atajua kua ana mwanamke ama lah! IMO kama for 6 months ndio hivo hivo na mumewe anakuja lalama ugumu wa kazi nyumbani.... yawezekana ni kweli bana.... After all ma Doctor waligoma, na wale ambao walikua na roho ngumu ya kutokubali kuacha wito wao wa kujali wagonjwa kwa kweli wameelemewa.
Pili... Inaonesha wazi kabisa kua hampendi mume wake.... For jinsi maelezo yalivo ni wazi mume hajapunguza upendo na huduma ndani ya nyumba ndio kwanza kakazana na yupo reliable na responsible sio tu kwa familia yake (mke na mtoto) hadi ndugu wa mke.... (Kama upendo/mapenzi yangepungua inaonesha wazi huyo rafikiyo angegusia na hizo pande) Lakini kuto gusia kwake ina maana hata hajatafakari hili la Upendo na Mapenzi.... ila tu kazingatia tu tendo la 6/6 (nayo sio sababu hajapata) ila kuonesha tu kua anaonewa. Ukizingatia ni wazi anaishi na mumewe sababu ya huduma anayopata hawezi pata pengine.
Kwangu hio inanifanya nione anaibomoa nyumba/ndoa yake kwa mikono yake miwili.....
HOWEVER
- Kuna baadhi ya kazi ambazo wanaume hufanya na kuwachosha mno.... To the extent hadi ile wazo la kufikiria kwenda kubanjuka (na twajua nguvu watumiazo pale) inamfanya ashindwe kabisa kufanya tendo. Hata hivo miezi sita ni mingi, angeweza hata jitahidi atake lakini akamiliza ndani ya sekunde.
- Yawezekana mumewe ana psychological problems ambazo zimeathiri hadi nguvu zake za kiume.... Kumwambiea mke wake labda anaona aibu na kuona kama anaji emasculate; hivo kaongeza bidii na mda wa kufanya kazi ili tu kuepuka kua mda mrefu na mkewe kitandani.
- Na kweli yawezekana ana mwanamke..... Ila jinsi story ilivo kaa kaa.... IMO Siamini kua ndio kigezo za kushindwa timiza tendo.
AU kama Lawyer Kloro alivo ongea......lol.... It may be true bana maana maadili haya! Only God knows.
.
Goodevening AD
Hapa kuna tatizo kubwa saana Aminata.... Huyo Mke kwa upande wangu namuona kana kwamba ni very SELFISH.... (Sorry dear kama nitakukwaza for she is your friend...) Sababu za mimi kufikiria yupo selfish ni as follows....
Kwanza... Hio story the way rafiki yako kakusimulia (taking it for granted kua umeandika kama alivokusimulia); Ni kana kwamba anataka awe sympathised kua yeye ndie anae onewa na mwanaume ndie wa kulaumiwa na afikiriwe kua ana mienendo mingine hasa huko nje hasa ya wanawake wengine.... Labda nakosea ila mimi ninavoelewa... Kwa mwanaume ambae ana hawara nje kwa miezi sita akujia usiku na mara asubuhi; kama kweli hilo ndio linalomuweka huko nje angeleta jeuri kwa mkewe kwa kutojali kama mkewe atajua kua ana mwanamke ama lah! IMO kama for 6 months ndio hivo hivo na mumewe anakuja lalama ugumu wa kazi nyumbani.... yawezekana ni kweli bana.... After all ma Doctor waligoma, na wale ambao walikua na roho ngumu ya kutokubali kuacha wito wao wa kujali wagonjwa kwa kweli wameelemewa.
Pili... Inaonesha wazi kabisa kua hampendi mume wake.... For jinsi maelezo yalivo ni wazi mume hajapunguza upendo na huduma ndani ya nyumba ndio kwanza kakazana na yupo reliable na responsible sio tu kwa familia yake (mke na mtoto) hadi ndugu wa mke.... (Kama upendo/mapenzi yangepungua inaonesha wazi huyo rafikiyo angegusia na hizo pande) Lakini kuto gusia kwake ina maana hata hajatafakari hili la Upendo na Mapenzi.... ila tu kazingatia tu tendo la 6/6 (nayo sio sababu hajapata) ila kuonesha tu kua anaonewa. Ukizingatia ni wazi anaishi na mumewe sababu ya huduma anayopata hawezi pata pengine.
Kwangu hio inanifanya nione anaibomoa nyumba/ndoa yake kwa mikono yake miwili.....
HOWEVER
- Kuna baadhi ya kazi ambazo wanaume hufanya na kuwachosha mno.... To the extent hadi ile wazo la kufikiria kwenda kubanjuka (na twajua nguvu watumiazo pale) inamfanya ashindwe kabisa kufanya tendo. Hata hivo miezi sita ni mingi, angeweza hata jitahidi atake lakini akamiliza ndani ya sekunde.
- Yawezekana mumewe ana psychological problems ambazo zimeathiri hadi nguvu zake za kiume.... Kumwambiea mke wake labda anaona aibu na kuona kama anaji emasculate; hivo kaongeza bidii na mda wa kufanya kazi ili tu kuepuka kua mda mrefu na mkewe kitandani.
- Na kweli yawezekana ana mwanamke..... Ila jinsi story ilivo kaa kaa.... IMO Siamini kua ndio kigezo za kushindwa timiza tendo.
AU kama Lawyer Kloro alivo ongea......lol.... It may be true bana maana maadili haya! Only God knows.
kishatekwa na wajanja wanaojua kutoa gemu la ukweli... btw, everything being equal, kukosa unyumba tu kunaweza kumfanya mtu akimbie ndoa?
Mwambie amchunguze pengine kaanza ubwabwa. Mwanamme rijali hakatai unyumba hata akiwa na vimada 20 nje, tena akatae unyumba miezi 5?? gademu!
I love you from the bottom of my heart, you are a wise woman!!! many sexual relationship ndani ya nyumba zipo complicated, na wengi huishia kulalama bila kuangalia kwamba they are falling short but we may not rule out a better sex somewhere else especially kama mama anaonyesha frustration and no support to their sexual relationship...
i usually have one belief, ukisikia mwanamke anasema hajaniandaa vizuri, ujue huyo hajui mapenzi... KWISHA!!!
pal, sex ni relationship and it has mind and soul entangled, kama hakuna mahusiano ujue hakuna sex unless unamtreat huyo mwanamke kama kipozeo
pal, yawezekana huo msosi home pia hauliki... angekua bwabwa mama angeshajua tu, mabwabwa hayajifichi, hasa yakilala
i think kuna issue kubwa hapo, some people bifu huondoa kabisa hamu ya duduz, ila pia dokta anaweza akawa kapata mtu ambaye kila siku anakamua hivyo dokta akifika nyumbani ka-abdala kanakua kameshanyauka kama mkia wa kitimoto
Kamanda inawezekana tuko tofauti lakini mimi miezi mitano kwangu mingi sana aisee, labda nikubaliane na wewe kwamba jamaa mapenzi kwa waifu yametoweka (kuna chuki ndani ya nyumba) na ana vimada na anavitumia kumkomoa waifu wake. Lakini hii inanipa shaka kuiamini kwasababu jamaa anasomeka kwamba hana tatizo na waifu kimaongezi na kimawasiliano (refer to those stupid excuses of his).pal, sex ni relationship and it has mind and soul entangled, kama hakuna mahusiano ujue hakuna sex unless unamtreat huyo mwanamke kama kipozeo
Hapo Pal you have defined making love..... Kipozeo ndio hapo mnapo sex...
na in most cases the mind and soul hai matter kabisaa kwenye sex....:wink2:
Kamanda inawezekana tuko tofauti lakini mimi miezi mitano kwangu mingi sana aisee, labda nikubaliane na wewe kwamba jamaa mapenzi kwa waifu yametoweka (kuna chuki ndani ya nyumba) na ana vimada na anavitumia kumkomoa waifu wake. Lakini hii inanipa shaka kuiamini kwasababu jamaa anasomeka kwamba hana tatizo na waifu kimaongezi na kimawasiliano (refer to those stupid excuses of his).
Niulize suala,
hivi mwanaume unaanzaje anzaje kukataa unyumba kwa miezi mitano na still ukategemea ukuwe refered kama mwanaume na wife wako? Hauoni kwamba jamaa tayari amejivua stage moja ya ujanadume?
Mwambie amchunguze pengine kaanza ubwabwa. Mwanamme rijali hakatai unyumba hata akiwa na vimada 20 nje, tena akatae unyumba miezi 5?? gademu!
kweli aisee
pia inawezekana kabisa, ni wiki tano tu, sema mama genye imevuka mpaka anahesabu wiki kama miezi[/QUOTE]
hehehe possible manake zile ndude mbaya sana, kuna wengine wanajifanyaga kupandisha mashetani kabisa yaani