Mume ashuhudia mkewe akichepuka

Siku na wewe mkeo akiliwa ndio utajua uchungu wa hiyo kitu,, acheni kutembea na wake za watu wazee hujui mme wake amepitia mangapi kumtunza huyo mke.. hiyo kitu isikie tu inauma sana
 
Mi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanaume, madem ambao hawajaolewa wako lundo kila siku wanahangaika kupata wakuwatuliza,nyie mnawaacha na kwenda kwa walioolewa kwa nini lakini?
 
Ingekua ni mke wako anachepuka ungefurahia mbona wanawake ambao hawajaolewa wapo wengi matatizo mnajitakia halafu utakuta mijamaa mingine utasikia wake za watu ndyo wazuri kwa sababu hawana gharama cku mkifumaniwa mtajuta
Wahuni wengi wanapenda wake za watu kwakuwa ni cheap sana hawana mizinga sana si ana mme, hawa ambao hawajaolewa wanapiga sana mizinga ndicho wahuni wanachokwepa.
 
Mi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanaume, madem ambao hawajaolewa wako lundo kila siku wanahangaika kupata wakuwatuliza,nyie mnawaacha na kwenda kwa walioolewa kwa nini lakini?
Wanakwepa majukumu ya kugharamia demu ambae hajaolewa.
 
Rafiki yangu hujajua tu ila mkeo pia analiwa hivyohivyo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…