Mume aomba talaka baada ya kushindwa shughuli za kitandani

Mume aomba talaka baada ya kushindwa shughuli za kitandani

hakuna cha kushangaa hapo.. kwa sababu India wanaume ndo wanaolewa na kutolewa mahali... KWANINI ASIOMBE TALAKA MAMBO YAKIMSHINDA??
 
Inakuwa mbinde pale ambapo anayetaka mchezo kwa wingi anapokuwa mke. hutatamani kurudi home jioni na hii hupelekea wanaume kutumia viagra na jamii yake na mwishowe kupata pressure ya ghafla na kufa.
 
Hii ni kawaida kabisa

Unaweza kudhani hakuna wanawake ambao wanahitaji ngono kwa kiasi cha kutisha lakini wapo,tatizo ni wao kuwa wazi tu,inapopatikana mahali au wakati anakuwa wazi watu wanashangaa lakini ingekuwa nao wanaweza kuwa wazi kama wanaume ingekuwa ni kawaida tu na idadi ya wanaume ambao wanahitaji ngono kwa kasi ya ajabu ingekuwa sawa na ya wanawake

Malezi na jinsia yamewafanya wanawake waonekane kama wasiohitaji sana jambo hili wakati ukweli unaweza kuwa kinyume sana!

Kwa mwanamke, mhemko kama huyo mama wa India ni ugonjwa unaitwa PSAS.
 
Ukikutana na m/mke anayependa ngono kupindukia, ni mtihani sana...
 
Back
Top Bottom