Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Single mother,
Kipato kinachojitosheleza
Mtoto mmoja. Picha ya kaburi la baba yake tafadhali
 
Unaona sasa kumbe wewe ndiyo tatizo
Pambana na hali yako
Hakuna mwanaume mwenyewe akili timamu atakuoa kwa tabia zako labda tahira mnaoendana
Halafu unasema una degree labda zile za chupi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe una matatizo ya akili nini?
 
Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Sawa
 
Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Kwa kigezo cha ukabila umefeli kabla ya kuanza🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom