Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

mkuu Mbona code nyepesi ku decipher

baba wa mtoto ni mchaga na alimuacha kwa makofi so anamchukia huyo mwamba na wachaga woteee


Hapana, baba mtoto alihama nchi akatuacha huku na ameshaendelea na maisha yake huko, ngoja na sisi tujitafute. Sio mchaga ni mnyakyusa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom