mume anaitajika

mume anaitajika

Mimi hapa....

Hebu jibu pm zangu kabla hawajaja wajuaji
 
Kila la kheri mkuu.
Ila ili kujiongezea market na kujibrand zaidi vi vyema ungeweka na wasifu wako kama umri, elimu, umeachika au hujawahi kuolewa, una mtoto au huna…
awe mkweli, na awe serious. anayetaka mke ani pm namba yake tutawasiliana. kwa maswali yote tutawasiliana
 
awe mkweli, na awe serious. anayetaka mke ani pm namba yake tutawasiliana. kwa maswali yote tutawasiliana
Kwa ushauri dada ongeza nyama uzi wako.
-Mofoloji
-Age.
-Skin Tone
-Height
-Elimu
-Kazi/Biashara
-Makazi
-Uhusiano wa nyuma
-Mtoto
-etc
 
Sijawahi sikia mke anahitajika ndo tuseme sisi wanaume hatuna shda sanaa eeh.wacha niwahi mstari kabla ya red kupita
 
awe mkweli, na awe serious. anayetaka mke ani pm namba yake tutawasiliana. kwa maswali yote tutawasiliana
e7ad06edb039105af15a834f6dfd15a3.jpg
tatizo ni pale mnapotumia ID mpya na kuacha za zamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom