Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Sawa ngoja nikupm namba mke
Siku hizi vyuma vimekaza wanakubari hadi vimbau mbau heri mladi uwe na kiroba cha mchele na maharage gheto.Umri wewe sio shida, je kipato, elimu vipi, six packs nazo.
awe mkweli, na awe serious. anayetaka mke ani pm namba yake tutawasiliana. kwa maswali yote tutawasiliana
mshukuru Mungu kwa yote aliyokupa ata ukamilifu ulio naoWewe ke au me umetumwa !?
mshukuru Mungu kwa yote aliyokupa ata ukamilifu ulio naoWewe ke au me umetumwa !?
mshukuru Mungu kwa yote aliyokupa ata ukamilifu ulio naoWewe ke au me umetumwa !?
Wewe ke au me umetumwa !?
mshukuru Mungu kwa yote aliyokupa ata ukamilifu ulio naoAcha mbwembwe, usidhani wanaume ni bei chee kiasi hicho, ingekuwa hivyo mnetunyasasa saana, unachotakiwa kufanya weka details zako hapa, mfano unajishughulisha na nini, kipato chako kikoje, unamiliki nini? Shamba, nyumba, gari, kama ni gari aina gani?, kama ni nyumba iko maeneo gani?
Note: lazima uwe na kitu cha ziada ili ufatwe PM labda uwe unataka kugegedwa tu
Nadhan kuolewa kuzaa na dini hvyo ndo muhimu zaidi maana wengine uzur pesa elimu sio vipaumbele vyaoKwa ushauri dada ongeza nyama uzi wako.
-Mofoloji
-Age.
-Skin Tone
-Height
-Elimu
-Kazi/Biashara
-Makazi
-Uhusiano wa nyuma
-Mtoto
-etc