Umesomeka vizuri mamii, shida ni hao watoto. Baba yao hupo hai au kafariki? Maana mimi naweza kuingia gharama kuwatunza na kuwasomesha mwisho wa siku baba yao anakuja nakusema anataka watoto wake.Be honest, mlifunga ndoa au mlizaa nae tu? Hua mnawasiliana au hata mawasiliano hayapo kabisa? Mimi sina mtoto wala sijawahi kuoa. Nakaa DAR nafanya kazi.kama itakupendeza nipe namba ya simu kwa mawasiliano na taarifa zaidi.Habari wana JF,
Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.
Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.
Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.
Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
Karibi PM nitakujibuUmesomeka vizuri mamii, shida ni hao watoto. Baba yao hupo hai au kafariki? Maana mimi naweza kuingia gharama kuwatunza na kuwasomesha mwisho wa siku baba yao anakuja nakusema anataka watoto wake.Be honest, mlifunga ndoa au mlizaa nae tu? Hua mnawasiliana au hata mawasiliano hayapo kabisa? Mimi sina mtoto wala sijawahi kuoa. Nakaa DAR nafanya kazi.kama itakupendeza nipe namba ya simu kwa mawasiliano na taarifa zaidi.
kweli? mbona umenishtuaUnatatizo kubwa la kisaikolojia.
Mama upo tayari kunipenda Mimi na mdogo wangu nikamwambie Baba?Karibi PM nitakujibu
Nicheki 0765913930Njoo PM nitakujibu maswali yako yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Buy one get two free!
Hapa hapa mwalimuu jibu usiwe mbinafsi tafadhaliNjoo PM nitakujibu maswali yako yote
Na hao wanaokunywa pombe ndio zari lako, we kalagabaho...Sipatani na pombe baba
Mi nakupenda!Kila la heri mamy
Hela sio moja ya kigezo changu dear,,asanteMe ninakunywa Sana pombe ila Nina helaaaaaaa!
Asante myhongera sana mamy kujitambua !utampata wa moyo wako