tehe tehe tehe maana yake huwa inachanganya sana hasa kwa ME wengine hata watoto wao wa kuzaa wanashindwa kuwahudumua 100% sembuse ambao sio wake, as long as atawapenda na kuwakubali muishi nao pamoja hilo ni MUHIMU, kuwahudumia hapo ndio unasikilizia kwa lolote sasa