S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,419 Reaction score 13,527 Jul 13, 2024 #41 Samia kaharibu sana uchumi.watu wamekuwa masikini wa kupindukia hadi kugombania shilingi miambilinkweli?.Nchi Iko hoi taabani kabisa.
Samia kaharibu sana uchumi.watu wamekuwa masikini wa kupindukia hadi kugombania shilingi miambilinkweli?.Nchi Iko hoi taabani kabisa.
Morocco forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,121 Reaction score 6,879 Jul 13, 2024 #42 Mkoa wa mara ukatili umerudi tena! Nasubiri surprise killer's ya moshi au arusha wivu wa mapenzi/mauwaji ya umiliki wa mali Njombe na iringa pametulia kidogo, wamebaki Arusha, moshi na Geita, kidogo na mbeya.
Mkoa wa mara ukatili umerudi tena! Nasubiri surprise killer's ya moshi au arusha wivu wa mapenzi/mauwaji ya umiliki wa mali Njombe na iringa pametulia kidogo, wamebaki Arusha, moshi na Geita, kidogo na mbeya.
Uta Uta JF-Expert Member Joined Feb 2, 2016 Posts 3,742 Reaction score 8,798 Jul 13, 2024 #43 Mi juzi demi kanilia afu 30 na mbususu hakunipa. Sasa nikawaza huyu angekuwa kala hiyo Hela huko Kwa kina mura sijui wangemng'oa Nini?
Mi juzi demi kanilia afu 30 na mbususu hakunipa. Sasa nikawaza huyu angekuwa kala hiyo Hela huko Kwa kina mura sijui wangemng'oa Nini?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,414 Reaction score 109,659 Oct 23, 2024 #44 Shadow7 said: Inasikitisha sana Click to expand... Hakika