Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,157
Mulugo, naibu waziri wa elimu anasema hata mwaka wa 1989 maswali yote yalikuwa ni ya kuchagua isipokuwa somo la hisabati tu! wa mliofanya mtihani mwaka huo ni kweli? nauliza hivyo maana mimi niliyefanya mtihani wangu wa darasa la saba mwaa 1992 sikufanya maswali ya multiple chices pekee bali mengine yalikuwa ya kutoa maelezo!
tusaidiane hasa kwa mliomaliza shule miaka hiyo!
tusaidiane hasa kwa mliomaliza shule miaka hiyo!