BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,246
Bado nasisitiza kuwa haya mambo si ya kushangaza barani ulaya hasa kwa mtu mwenye utimamu wa akili.....
Maelfu ya wakimbizi kutoka mashariki ya kati ambako msamiati wa amani na ubinaadamu umeshapotea vichwani mwao....huku wakionekana kukata tamaa na maisha kwani hawana cha kupoteza mwao....mambo kama haya yalitarajiwa.......
Huwezi kuwapokea wakimbizi ambao wanajua mateso yao na mahangaiko yao yamesababishwa na wewe alafu wewe ukabaki salama.......
Yaani ni sawa na mfano wa mtu ambaye umemgombanisha na ndugu zake kiasi cha kuondosha amani miongoni mwao alafu mtu huyo unampa hifadhi kwenye familia yako yenye amani.....hapo unadhani nini kitatokea....!!???
Dunia haipaswi kupumbazwa na haya yanayotokea sasa hivi balani ulaya kupitia CNN na BBC bali pia wanapaswa kuwafikiria mayatima na walemavu waliobakia huko mashariki ya kati yaliyosababishwa na makombora ya NATO na Marekani nyuma ya kichaka cha UGAIDI NA DEMOKRASIA........
Bahati mbya propaganda zimetawala kwenye vyombo vya habari vya magharibi kiasi ulimwengu mzima kumuonea huruma mzungu aliyechomwa kisu....kuliko mtoto au mwanamke asiyekua na hatia aliyesambaratishwa na makombora ya NATO......na Marekani.......
Kikulacho..post zako huwa zinavutia sana, ulichokisema ni ukweli halisi big up
Kumbe haujui kwamba vita hivyo vya Iraq vimeanzishwa na Wamarekani, Wamarekani ndio walio ivamia Iraq na kuvuruga amani ya inchi hiyo (amka bro).View attachment 370498
Yameuana tena huko Iraq lakini utashangaa mtu anakuja hapa na kusema wamechonganishwa na Marekani,Israel au nchi za magharibi.Hawa jamaa kuua au kuuana ni kawaida yao.
Kumbe haujui kwamba vita hivyo vya Iraq vimeanzishwa na Wamarekani, Wamarekani ndio walio ivamia Iraq na kuvuruga amani ya inchi hiyo (amka bro).
Hawataki jumpa kick. Si umewasikia wanavyoukataa ukweli na kuanza kudai eti in umiliki holela Wa siraha!!Trump anazidi kupata kick
Trump atakuwa amesababisha apate kick.Chezea propaganda.Leo hii tena yamejilipua huko Ujerumani,Hawa watu ni hatari.
Trump atakuwa amesababisha apate kick.Chezea propaganda.
Walielewa sema wakajitia upofu na uziwi wasiokuwa nao,acha kila mtu aonje matunda ya mti aliopanda.
Tabia ya kuua watu wasio na hatia ni ya waarabu hivyo ikitokea kwa mtu mwingine lazima awe na matatizo ya akili au amekaririshwa na ile imani yao ya kuua maana si kawaida kwa mtu wa kawaida kufanya unyama kama huo.Mfano huyu aliyefanya mauaji huko Munich kuna viashiria kuwa ni jamaa wa Irani ni walewale tu ni kama Nyani na Tumbili.