Mullen: China now a world power

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,006
[h=1]Mullen: China now a world power[/h]By the CNN Wire Staff

July 10, 2011 9:44 a.m. EDT

story.mullen.china.afp.gi.jpg

U.S. Joint Chiefs of Staff Chairman Adm. Mike Mullen speaks in Beijing on Sunda

STORY HIGHLIGHTS

  • NEW: South China Sea dispute could become "very dangerous," Adm. Mike Mullen warns
  • NEW: Stronger military must come with "greater transparency," Mullen tells China
  • NEW: The visit comes amid tension over arms sales and U.S. military exercises
Beijing (CNN) -- The top U.S. military officer declared Sunday that China "has arrived as a world power," and that previous U.S. descriptions of China as a "rising power" are now a thing of the past.
U.S. Chairman of the Joint Chiefs of Staff Adm. Mike Mullen made the remarks during an address at a university in Beijing at the start of a four-day visit.
"China today is a different country than it was 10 years ago, and it certainly will continue to change over the next 10 years," Mullen told the audience at Renmin University. "It is no longer a rising power. It has, in fact, arrived as a world power.

In January, U.S. Secretary of State Hillary Clinton described China as a "rising power."
"The United States is changing as well," Mullen added in his remarks, "as are the context and global order in which both our countries operate. I believe that our dialogue needs to keep pace with these changes. It needs to move from working out the particular issues and conditions of our bilateral relationship to working together to meet broader -- and common -- goals we share."

The chairman touched on some specific concerns, including the growing territorial disputes over the South China Sea and its potentially huge reserves of oil and natural gas.
"It is certainly the United States' expectation that these be worked out by countries ... in a responsible way, so that a specific incident does not rise to a level of miscalculation which could become very dangerous and get out of control," Mullen said.

China, Vietnam, the Philippines, Malaysia, Brunei and Taiwan all have competing claims to parts of the 1.3-million-square-mile patch of the Pacific Ocean. A recent spate of incidents between Chinese and Vietnamese vessels in the sea has fueled a growing rift between the communist neighbors, creating strange bedfellows as Hanoi embraces closer military ties with historic foes in Washington.

Mullen also noted China's growing military strength.
"With greater military power must come greater responsibility, greater cooperation and, just as important, greater transparency," he said. "Without these things, the expansion of military power in your region, rather than making it more secure and stable could have the opposite effect."
The visit is part of an effort by both sides to increase mutual understanding despite the divisive issues of arms sales to Taiwan, U.S. meetings with the Dalai Lama -- who was in Washington this week -- and plans for U.S. military exercises in the region that China opposes.

China repeatedly has objected to outside naval operations in areas it claims as its own territory, including the South China Sea.
Vietnam and the United States recently announced a new round of joint military exercises, and the U.S. recently held joint drills with the Philippines.
Mullen, in his address, called for an "enduring effort" to build the U.S.-China relationship, saying the two sides must "work from a posture of mutual respect" and think "locally and globally."

He encouraged cooperation on efforts including stability on the Korean peninsula and the safety of trade routes.
"Both our nations recognize the emerging challenges of nuclear proliferation, terrorism, growing global energy demands and the geopolitical implications and stresses of climate change," Mullen said. "Therefore, our exchange must not be limited to the Asia-Pacific, but should range farther and wider, as befits our shared interests and China's increasing ability to contribute positively beyond your shores."

While in China, Mullen will meet with numerous Chinese officials, including Chief of the General Staff of the People's Liberation Army Chen Bingde, who visited Washington in May. The admiral will also meet with Chinese Vice President Xi Jinping, according to Chinese state news agency Xinhua.
CNN's Kevin Voigt and Natalie Robehmed contributed to this report.
 
It is high time US has to acknowledge that... for the more wangekua wana
ignore kua China has arrived the more kila China related issue ingechukuliwa
na US as kama iko mkononi mwao... With this naona it is a first step to kuweka
mambo sawa pale yanapowezekana... for China has its own mind..
 
  • Thanks
Reactions: BAK

In few years (between 5 and 10 years) China will be the most powerful nation in the World. Hapo ndio itakuwa raha kuona jinsi US itakavyokuwa inawasujudia Wachina.
 
In few years (between 5 and 10 years) China will be the most powerful nation in the World. Hapo ndio itakuwa raha kuona jinsi US itakavyokuwa inawasujudia Wachina.

kweli kabisa comprehending inakua ngumu... US wajeuri... China wajeuri...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kweli kabisa comprehending inakua ngumu... US wajeuri... China wajeuri...

Asha Ujeuri wakati uchumi uko shakalabaghala hautawasaidia chochote, itabidi tu wajifunze namna ya kuwasujudia Wachina na wale Warusi sasa hivi wanafanya vizuri sana na mafuta yao mengi waliyokuwa nayo yanawanyanyua kiuchumi na hivyo kulijenga tena jeshi lao ili liwe la kuogopewa. NATO nayo ndiyo hiyoooo kazi ya kumtoa Ghadaffi ambayo walidhani ingechukua wiki mbili tu sasa ni mwezi wa tatu jamaa bado anapeta tu.
 
Binafsi napenda kuona taifa la China kuwa ni world's super power nation, nimechoshwa na mataifa ya ulaya na marekani kuitawala dunia.
 
The bolded black... NDIO ni most logical explanation of going with a smooth
flow, but hata hivyo ni waze hawa US hata wakisujudu hawatainamisha mgongo
wao unless iwe sijui nini.... na these powers ndio zaweza WW III... NDIO wataalam
wa mambo wanasema ni unlikely BUT bana US, hawatakubali kirahisi kujishusha for
it is common knowledge they rule the world....

Kuhusu Col Gaddafi... hio ndio kazi yao US/NATO over estimating themselves...
naona hata zile helicopter za vita zilipelekwa toka Ufaransa hazijasaidia kitu
(and i thot then that they were wasting resources they had an open victory)
Ila Gaddafi has proven his words of fighting using all his strength!
Kumbuka kwa Saadam walisema it would take them 7 day!!! ha ha ha
7 days indeed!! iliwatoa jacho...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Binafsi napenda kuona taifa la China kuwa ni world's super power nation, nimechoshwa na mataifa ya ulaya na marekani kuitawala dunia.

As much as wa US ni washenzi... mataifa kama Uarabuni, Russia, Germani and China ikiwa world power... tunalo!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
The bolded black... NDIO ni most logical explanation of going with a smooth
flow, but hata hivyo ni waze hawa US hata wakisujudu hawatainamisha mgongo
wao unless iwe sijui nini.... na these powers ndio zaweza WW III... NDIO wataalam
wa mambo wanasema ni unlikely BUT bana US, hawatakubali kirahisi kujishusha for
it is common knowledge they rule the world....

Kuhusu Col Gaddafi... hio ndio kazi yao US/NATO over estimating themselves...
naona hata zile helicopter za vita zilipelekwa toka Ufaransa hazijasaidia kitu
(and i thot then that they were wasting resources they had an open victory)
Ila Gaddafi has proven his words of fighting using all his strength!
Kumbuka kwa Saadam walisema it would take them 7 day!!! ha ha ha
7 days indeed!! iliwatoa jacho...

Ngoja tuangalie hawa "Taifa Kubwa" watatua vipi tatizo lao kubwa la budget deficit wakishindwa kulitatua basi itakula kwao maana uchumi utaanguka vibaya sana, interest rate zitapanda kwa kiwango kikubwa na si ajabu US Dollar nayo ikaporomoka vibaya sana kiasi ambacho mataifa mengi hawataikubali tena kama medium of exchange katika soko la dunia.
 
One thing i admire about the Americans.... ni Uzalendo wao.... incredible!!
ikifika a stage kua sasa hali ni mbaya hata private tycoons woote watahusika
tena kwa moyo mmoja bila ubishi... hivyo kazi ipo!!!
 
Hakuna ubishi kuhusu hilo Asha, jamaa wanaipenda nchi yao vibaya sana. Yaani wanavyoipenda nchi yao yaani mpaka mwili unaweza kukusisimka. Sidhani kama kuna Taifa hapa duniani ambalo wananchi wake wana uzalendo wa hali ya juu na nchi yao kama Wamarekani.

Na kama hali ya kiuchumi itakuwa mbaya sana basi sitashangaa kuwaona mabilionea mbali mbali wakitoa mabilioni yao ili kuisaidia nchi yao tena kwa fahari kubwa sana.
 
We should discuss on how Tanzania can become the World Economic Powerhouse rather than wishing the chinese to become the leading world powerhose economically!

Lets change our attitudea and mindsets that we can bring about ANY change we could think of ... Lets put good administrative machinery which derives its legitimacy from Genuine Majority Votes...

We can get anywhere tena tusisahau... AFRICANS/TANZANIANS make Chinese wealthy... They give them road construction tenders, we buy their YUTONG buses, Motobikes (BODABODA), Mobile phones, computers, cameras, radios, TVs,flowers and so on and so forth...!!

I was just passing....
 
  • Thanks
Reactions: 3D.

Karikenye we as a poor dependent nation.. our survival be it economically or politically
is influenced by world powers (maybe if you are not aware how... then i will understand you)
We Tanzanians talk alot about attitude (which is negative and poor...), but talking about the
problem in isolation as if the root is only in TZ... We still wont get anywhere... look at the
major problems we face in our nations, in most cases influenced by those Big nations whether
we acknowledge or not... or whether we like it or not! Tuchukulie tu hii issue ya our currency
in relation to dollar ya US... Can we talk about ilo tatizo bila kumshirikisha m US in one way or another??
And usimpotaka kujua what is running sasa internationally ina maana unachimba shimo fupi
nia kuingiza kichwa tu - huku ukiamini kua you are hidden from the whole world....
 
wazungu bwana wasivyopenda kuachwa. am sure hii ni hegemonic attitude tu inawasumbua. they better wake up manake China is over taking them na wao wanabaki na kumbukumbu za near history. Hata wakirudi nyuma kidogo tu watakumbuka kuwa CHina was a big empire enzi hizo long before US haija hata tabiriwa kuzaliwa, na yule mdau wa Mongolia aliwahi ku-expand westward mpaka Ulaya
 
Binafsi napenda kuona taifa la China kuwa ni world's super power nation, nimechoshwa na mataifa ya ulaya na marekani kuitawala dunia.

Usiombe kabisaaaaa!!!!!!!, Huwajui wachina. Seek consultancy kutoka kwa watu walioona maasha ya mkono wa chuma huko china. Kama unataka hata uhuru wako wa kutoa mawazo hapa jamii forums upotee basi China iwe super power. Bora mara mia Russia na Brazil zichukue nafasi hiyo lakini siyo China. China ikiwa super power basi kuishi itakuwa siyo haki bali ni zawadi kutoka kwa watawala.
 
We should discuss on how Tanzania can become the World Economic Powerhouse rather than wishing the chinese to become the leading world powerhose economically!

Lets change our attitudea and mindsets that we can bring about ANY change we could think of ... Lets put good administrative machinery which derives its legitimacy from Genuine Majority Votes...

We can get anywhere tena tusisahau... AFRICANS/TANZANIANS make Chinese wealthy... They give them road construction tenders, we buy their YUTONG buses, Motobikes (BODABODA), Mobile phones, computers, cameras, radios, TVs,flowers and so on and so forth...!!

I was just passing....

Karikenye unapoteza muda. Wenzako (Waafrika/Watanzania) wanagawana US na China kama Simba na Yanga au Man U na Barca. Ah, haya, napita tu.
 
Karikenye unapoteza muda. Wenzako (Waafrika/Watanzania) wanagawana US na China kama Simba na Yanga au Man U na Barca. Ah, haya, napita tu.

3D I am genuinely lost.... hope you bring me back - were you being
Sarcastic?? The 3D I know is always disturbed with these discussions or
maybe hopefully reformed??
 
Usiombe kabisaaaaa!!!!!!!, Huwajui wachina. Seek consultancy kutoka kwa watu walioona maasha ya mkono wa chuma huko china. Kama unataka hata uhuru wako wa kutoa mawazo hapa jamii forums upotee basi China iwe super power. Bora mara mia Russia na Brazil zichukue nafasi hiyo lakini siyo China. China ikiwa super power basi kuishi itakuwa siyo haki bali ni zawadi kutoka kwa watawala.
Well said... Japo watu wanawalaumu sana Wamarekani, lakini China au Russia watatuumiza sana. Taifa la Marekani kuwa mchanganyiko wa watu wa asili mbalimbali inawafanya wawe na utu kidogo. Sio hao Wachina au WaRussia. Anyway hakuna taifa lisilo weza kukuumiza likiwa super power. Maana kila moja litakuza interests zake. Angalia sasa, hata twalalama kuhusu Kenya. Ndiyo yaleyale.
 
Maumivu yanapatikana hata tu ndani ya Taifa... mfano mzuri ni the majority
Tanzanians... kweli hali ni ngumu mno...

But the above ... say again?? NDIO US ni washenzi... but hebu jaribu imagine
hio nguvu alonayo M-US awe nayo mwarabu.... aaaaiiisseeee....
 
Taifa la Marekani kuwa mchanganyiko wa watu wa asili mbalimbali inawafanya wawe na utu kidogo
Serikali ya marekani na raia wa marekani ni vitu viwili tofauti, inapokuja kwenye maswala ya nchi hakuna mambo ya utu bali ni maslahi tuu
 
Back
Top Bottom