Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,743
- 2,601
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa Tanzania, akisema hayo ni maoni yao na kama wana malalamiko waende kushitaki kwenye mamlaka husika.
Ameyasema hayo alipohojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).
Soma pia: Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana
Mwangi na Atuhaire walikuwa miongoni mwa wanaharakati waliokwenda Dar es Salaam kuhudhuria kutajwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu.