Tupia picha kama inawezekana pia maelezo ya madhara yaliyotokea kisiwani, wananchi tuzidi kuitumaini Jamiiforums ni chanzo nambari moja cha habari Tanzania.
Amini usiamini leo asubuhi katika kisiwa cha kelebe wilayani muleba kumetokea dhoruba kali ya dakika 30. Majira ya saa nne asubuhi. Nashangaa wataalamu wetu wa hali ya hewa kutotoa taarifa. Vipi mitambo yenu vipi
Hilo dhoruba kali la dakika 30 ni la namna gani? Kimbunga, tufani, volcano, radi au nini hasa? Litaje angalau kwa lugha ya kwetu ya kihaya ili tukuelewe.