Bandugu jana nilimuona mkuu wa kaya akiendesha gari la mwendo kasi huku limepakia abiria. Hii ni wakati akizindua mradi wa mabasi ya mwendo kasi. Kiukweli ilisisimua macho ya wengi kwa jinsi Mukulu alivyotulia nalo na kuonekana kuwa makini barabarani, ikaashiria ni mtu wa kujichanganya na watu wake.
Najua wataalamu wa haya masuala ya itifaki na usalama wa viongozi watatuelewesha juu ya masuali yafuatayo:
i. Je mukulu ana leseni ya kuendesha magari ya abiria na kupakia abiria?
ii.Je, vipi usalama wake yeye kama dreva na kama kiongozi wa nchi ulikuwa asilimia 100?
iii.Ingetokea likamshinda na kusababisha ajali nani angewajibika?
vi. Kama hana leseni, na ilikuwa ni lazima azindue kwa kuendesha, ni kwa nini abiria wasinge amriwa washuke na sio kuweka rehani maisha yao?
v. Je, siku akimkuta rubani anaendesha bombadier na Mkulu akaomba kuizindua mwenyewe,ataruhusiwa?
Kwa mtizamo wangu, mi nadhani kukata utepe ingetosha sana tu.