zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Dah!Kama huna pesa hata umuite majina yote romantic hapa duniani ni kazi bure !!!
[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]na wote ni wa Tanzania au mnaishi Marekani[emoji23]Mie na boyfriend wangu tunaitana 'smart ass'
Na tuko romantic kinyama
[emoji1787][emoji1787]enjoy it while it lasts.Mie na boyfriend wangu tunaitana 'smart ass'
Na tuko romantic kinyama
Ushakuwa used au scraper πNapenda sana kusikia akiniita kwa jina langu. Sasa hivi ni mwendo wa mama nanihii tu....sipendi kwa kweli. God knows if he even still remembers my name.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]na wote ni wa Tanzania au mnaishi Marekani[emoji23]
Dah!mmh inabidi mkaishi Marekani na niggas ambao mapenzi yao ni ya kibabe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wote tuko hapa kwa Mtogole
Napenda sana kusikia akiniita kwa jina langu. Sasa hivi ni mwendo wa mama nanihii tu....sipendi kwa kweli. God knows if he even still remembers my name.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me. He doesNapenda sana kusikia akiniita kwa jina langu. Sasa hivi ni mwendo wa mama nanihii tu....sipendi kwa kweli. God knows if he even still remembers my name.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote tuko hapa kwa Mtogole
Dah!mmh inabidi mkaishi Marekani na niggas ambao mapenzi yao ni ya kibabe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sanaππππππKama huna pesa hata umuite majina yote romantic hapa duniani ni kazi bure !!!
Na wewe unaenjoy duh!ngoja siku akianza kukuita Mamba tuone kama romance itaendelea[emoji23][emoji23][emoji23]Sio ubabe hata